Alichosema Putin kuhusu Afrika

Alichosema Putin kuhusu Afrika

Huyu putini aliyasema hayo akiwa Morogoro ni Putin huyuhuyu wa Russia au putini wa Kilosa bwana shaka handu shaka?
 
Aisee putin na urusi kwa ujumla nilikuwa naikubali sana.... Lakini baada ya kugundua unafiki wa hiyo NCHI kwa Iran Dah sitamani tenaa kuiona duniaani!!?
 
Kama ulikuwa hujui kuwa PUTIN amesema nini kuhusu AFRIKA, wacha nikufahamishe:

RAIS wa URUSI, Mheshimiwa VLADIMIR PUTIN,
Jana amelihutubia taifa na kusema kuwa:
Kuna watu wananilaumu mimi na serikali yangu kwamba,
kwanini naingilia masilahi yao kwa kuamua kumsaidia TRAORE.
Sasa leo wacha niwaambie ukweli, wazungu,
lakini pia wacha niwaambie Waafrika ukweli.
Japokuwa ukweli huu utakua mchungu kwa Waafrika, wacha niwaambie:

"Katika kipindi cha chini ya miaka 20 ijayo,
UFARANSA itakuwa koloni la makoloni yake ya zamani.
Wala sihitaji kuanzisha vita dhidi ya UFARANSA.
Kile ninachohitaji ni kuzikomboa nchi za AFRIKA,
hasa zinazozungumza lugha ya Kifaransa ambazo,
kwa muda mrefu zimekuwa makoloni ya UFARANSA.
Nikizikomboa hizi nchi zikawa na nguvu na miundombinu ya kiuchumi,
pamoja na kiteknolojia na kujisimamia wenyewe kijeshi,
lazima UFARANSA itaanguka yenyewe,
kama tunda lililooza liangukavyo kutoka kwenye mti.

Nani kati yetu sisi wa ULAYA asiyejua ukweli mchungu kuwa
ardhi ya AFRIKA ina uwezo wa kulisha ULAYA, AMERIKA, na ASIA yote?

Lakini kitu pekee ambacho AFRIKA imekosa ni viongozi wenye akili.

AFRIKA imebarikiwa rasilimali adimu duniani,
lakini shida ni viongozi waliolaaniwa, wabinafsi, hawana akili,
na wanaojali familia zao kuliko nchi zao.

AFRIKA ina utajiri mara 20 zaidi ya ULAYA,
lakini AFRIKA ni masikini—masikini takribani zaidi ya mara maelfu kimaendeleo.

Ninachoweza kuwaambia Waafrika ni kwamba,
kama viongozi wao watadhubutu kujitambua
na kuunda sarafu moja ya pamoja kwa ajili ya AFRIKA mzima,
nawahakikishia nchi nyingi za ULAYA zitakuja kuomba misaada AFRIKA.

AFRIKA inamiliki 70% ya maliasili zinazopatikana ulimwenguni,
AFRIKA inamiliki 70% ya malighafi zinazotumika kuunda silaha za nyuklia.

Na wazungu wanajua hilo, lakini kwa kejeli,
bado mpaka leo hii MAREKANI na UFARANSA
wanaujasiri wa kuiita AFRIKA kuwa ni bara masikini zaidi duniani,
kwa sababu tu wazungu hao wamefanikiwa kuwashika akili Waafrika.

Na Waafrika wenyewe walivyo kama mazezeta,
wanaamini kuwa kujipendekeza kwa wazungu ndiyo ujanja,
na wanaamini kuwa ULAYA ni sehemu bora kuishi kuliko AFRIKA,
na wanaliona bara lao kama sehemu mbaya kuliko mabara yote duniani.

Sasa nimeamua kumsapoti ndugu yangu TRAORE,
kwa sababu yeye ameonesha kuwa anajitambua.

TRAORE anajitambua sana kuliko viongozi wote wa AFRIKA na raia wao.

Mimi kama PUTIN, kama RAIS wa URUSI,
nasema hapa leo kuwa nipo tayari kumsaidia kiongozi yeyote atakaye jitambua AFRIKA
ila ujitambue kweli kweli kama TRAORE.

Lakini kama utakuja kwangu ukaniomba msaada,
na kuniambia kuwa sasa wewe na raia wako mnajitambua,
na unataka kuikomboa nchi yako kwa kunidanganya,
utajuta kuzaliwa, kwani URUSI huwa haipendi mambo ya kijinga kijinga."

— amesema PUTIN
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro.
Nimesoma jina la mleta Makala nimechoka, hawa jamaa huwa ni waongo sana na uongo wao hauna ulazima yaani. ukidanganya unafaidika na nini zaidi unakuwa mtumwa wa Iblis tu
 
Tunaomba chanzo cha habari hii nasi tujielimishe
 
Mbona hukumsaidia Asad! Umeamua kuwatukana waafrika kwa kumsifia muafrika,pumbafu sana wewe.
Unaropoka nini wewe?
Zaidi ya miaka 15 Asad amekuwa alilitegemea jeshi la Urusi.
Ilipofikia kwa mustakabali wa nchi Urusi ilimshauri aachie uongozi.
Kama hamujui kitu nyamazeni jamani.
 
Kama ulikuwa hujui kuwa PUTIN amesema nini kuhusu AFRIKA, wacha nikufahamishe:

RAIS wa URUSI, Mheshimiwa VLADIMIR PUTIN,
Jana amelihutubia taifa na kusema kuwa:
Kuna watu wananilaumu mimi na serikali yangu kwamba,
kwanini naingilia masilahi yao kwa kuamua kumsaidia TRAORE.
Sasa leo wacha niwaambie ukweli, wazungu,
lakini pia wacha niwaambie Waafrika ukweli.
Japokuwa ukweli huu utakua mchungu kwa Waafrika, wacha niwaambie:

"Katika kipindi cha chini ya miaka 20 ijayo,
UFARANSA itakuwa koloni la makoloni yake ya zamani.
Wala sihitaji kuanzisha vita dhidi ya UFARANSA.
Kile ninachohitaji ni kuzikomboa nchi za AFRIKA,
hasa zinazozungumza lugha ya Kifaransa ambazo,
kwa muda mrefu zimekuwa makoloni ya UFARANSA.
Nikizikomboa hizi nchi zikawa na nguvu na miundombinu ya kiuchumi,
pamoja na kiteknolojia na kujisimamia wenyewe kijeshi,
lazima UFARANSA itaanguka yenyewe,
kama tunda lililooza liangukavyo kutoka kwenye mti.

Nani kati yetu sisi wa ULAYA asiyejua ukweli mchungu kuwa
ardhi ya AFRIKA ina uwezo wa kulisha ULAYA, AMERIKA, na ASIA yote?

Lakini kitu pekee ambacho AFRIKA imekosa ni viongozi wenye akili.

AFRIKA imebarikiwa rasilimali adimu duniani,
lakini shida ni viongozi waliolaaniwa, wabinafsi, hawana akili,
na wanaojali familia zao kuliko nchi zao.

AFRIKA ina utajiri mara 20 zaidi ya ULAYA,
lakini AFRIKA ni masikini—masikini takribani zaidi ya mara maelfu kimaendeleo.

Ninachoweza kuwaambia Waafrika ni kwamba,
kama viongozi wao watadhubutu kujitambua
na kuunda sarafu moja ya pamoja kwa ajili ya AFRIKA mzima,
nawahakikishia nchi nyingi za ULAYA zitakuja kuomba misaada AFRIKA.

AFRIKA inamiliki 70% ya maliasili zinazopatikana ulimwenguni,
AFRIKA inamiliki 70% ya malighafi zinazotumika kuunda silaha za nyuklia.

Na wazungu wanajua hilo, lakini kwa kejeli,
bado mpaka leo hii MAREKANI na UFARANSA
wanaujasiri wa kuiita AFRIKA kuwa ni bara masikini zaidi duniani,
kwa sababu tu wazungu hao wamefanikiwa kuwashika akili Waafrika.

Na Waafrika wenyewe walivyo kama mazezeta,
wanaamini kuwa kujipendekeza kwa wazungu ndiyo ujanja,
na wanaamini kuwa ULAYA ni sehemu bora kuishi kuliko AFRIKA,
na wanaliona bara lao kama sehemu mbaya kuliko mabara yote duniani.

Sasa nimeamua kumsapoti ndugu yangu TRAORE,
kwa sababu yeye ameonesha kuwa anajitambua.

TRAORE anajitambua sana kuliko viongozi wote wa AFRIKA na raia wao.

Mimi kama PUTIN, kama RAIS wa URUSI,
nasema hapa leo kuwa nipo tayari kumsaidia kiongozi yeyote atakaye jitambua AFRIKA
ila ujitambue kweli kweli kama TRAORE.

Lakini kama utakuja kwangu ukaniomba msaada,
na kuniambia kuwa sasa wewe na raia wako mnajitambua,
na unataka kuikomboa nchi yako kwa kunidanganya,
utajuta kuzaliwa, kwani URUSI huwa haipendi mambo ya kijinga kijinga."

— amesema PUTIN
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro.
KAMA HUYU SAMIA BUSHIRI NI LAANA KAMILI.....AMELAANIWA NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKE KALAANIWA
 
Mdau we take a bow...
Ingenoga hii ipelekwe mashuleni..
Liwe neno la kila siku kwenye vyombo vya habari..
Haya maneno yawekwe kwenye mabango nchi nzima, barabara zote na raia wetu iwaingie kichwani.
👏👏👏👏👏
 
Kama ulikuwa hujui kuwa PUTIN amesema nini kuhusu AFRIKA, wacha nikufahamishe:

RAIS wa URUSI, Mheshimiwa VLADIMIR PUTIN,
Jana amelihutubia taifa na kusema kuwa:
Kuna watu wananilaumu mimi na serikali yangu kwamba,
kwanini naingilia masilahi yao kwa kuamua kumsaidia TRAORE.
Sasa leo wacha niwaambie ukweli, wazungu,
lakini pia wacha niwaambie Waafrika ukweli.
Japokuwa ukweli huu utakua mchungu kwa Waafrika, wacha niwaambie:

"Katika kipindi cha chini ya miaka 20 ijayo,
UFARANSA itakuwa koloni la makoloni yake ya zamani.
Wala sihitaji kuanzisha vita dhidi ya UFARANSA.
Kile ninachohitaji ni kuzikomboa nchi za AFRIKA,
hasa zinazozungumza lugha ya Kifaransa ambazo,
kwa muda mrefu zimekuwa makoloni ya UFARANSA.
Nikizikomboa hizi nchi zikawa na nguvu na miundombinu ya kiuchumi,
pamoja na kiteknolojia na kujisimamia wenyewe kijeshi,
lazima UFARANSA itaanguka yenyewe,
kama tunda lililooza liangukavyo kutoka kwenye mti.

Nani kati yetu sisi wa ULAYA asiyejua ukweli mchungu kuwa
ardhi ya AFRIKA ina uwezo wa kulisha ULAYA, AMERIKA, na ASIA yote?

Lakini kitu pekee ambacho AFRIKA imekosa ni viongozi wenye akili.

AFRIKA imebarikiwa rasilimali adimu duniani,
lakini shida ni viongozi waliolaaniwa, wabinafsi, hawana akili,
na wanaojali familia zao kuliko nchi zao.

AFRIKA ina utajiri mara 20 zaidi ya ULAYA,
lakini AFRIKA ni masikini—masikini takribani zaidi ya mara maelfu kimaendeleo.

Ninachoweza kuwaambia Waafrika ni kwamba,
kama viongozi wao watadhubutu kujitambua
na kuunda sarafu moja ya pamoja kwa ajili ya AFRIKA mzima,
nawahakikishia nchi nyingi za ULAYA zitakuja kuomba misaada AFRIKA.

AFRIKA inamiliki 70% ya maliasili zinazopatikana ulimwenguni,
AFRIKA inamiliki 70% ya malighafi zinazotumika kuunda silaha za nyuklia.

Na wazungu wanajua hilo, lakini kwa kejeli,
bado mpaka leo hii MAREKANI na UFARANSA
wanaujasiri wa kuiita AFRIKA kuwa ni bara masikini zaidi duniani,
kwa sababu tu wazungu hao wamefanikiwa kuwashika akili Waafrika.

Na Waafrika wenyewe walivyo kama mazezeta,
wanaamini kuwa kujipendekeza kwa wazungu ndiyo ujanja,
na wanaamini kuwa ULAYA ni sehemu bora kuishi kuliko AFRIKA,
na wanaliona bara lao kama sehemu mbaya kuliko mabara yote duniani.

Sasa nimeamua kumsapoti ndugu yangu TRAORE,
kwa sababu yeye ameonesha kuwa anajitambua.

TRAORE anajitambua sana kuliko viongozi wote wa AFRIKA na raia wao.

Mimi kama PUTIN, kama RAIS wa URUSI,
nasema hapa leo kuwa nipo tayari kumsaidia kiongozi yeyote atakaye jitambua AFRIKA
ila ujitambue kweli kweli kama TRAORE.

Lakini kama utakuja kwangu ukaniomba msaada,
na kuniambia kuwa sasa wewe na raia wako mnajitambua,
na unataka kuikomboa nchi yako kwa kunidanganya,
utajuta kuzaliwa, kwani URUSI huwa haipendi mambo ya kijinga kijinga."

— amesema PUTIN
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro.
Yupo sahihi kwa 100%
 
Ukwel mchungu.. Africa tuna viongoz waroho wa madaraka na ubinafs pia wezi.

Najiuliza hapa africa wangepatikana maraisi hata watano kama traole akiwemo na magufuri. Africa ingeanza kuokopeka na ingefata mfumo
 
... Lakini kitu pekee ambacho AFRIKA imekosa ni viongozi wenye akili.
Akili wanazo, tena sana sana, ni kuendekeza tamaa tu mdau?
Ambayo imezalisha wizi, ubinafsi, ufisadi, nepotism, njaa, roho mbaya....
 
Hii hotuba ameitoa wapi?
Haya ni maneno ya mtunga mashairi wa Kenya acheni uongo

Source ya mada hii imetokea sokoni tandale
 
""TRAORE anajitambua sana kuliko viongozi wote wa AFRIKA na raia wao.""

Daaah......
 
Back
Top Bottom