PostGE2025 Genge la Abdul linamuona Nchimbi kama tishio

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Moja kati ya watu ccm mtandao wamemuandaa na wanategemea siku moja atakuja kiwa raisi ni Emma the boy.

Wapemba lazima.wamuhofie huyu kada mwandamizi Nchimbie.
 
Siyo ukaribu tu na Catholic church.Nchimbi amesoma Upadre (Major seminary Peramiho) amesoma darasa Moja na Askofu Joseph Mlola wa Jimbo la Kigoma ,na Askofu Urasa.Kanisa Katoliki analijua vizuri na wanamjua vizuri pia
Mimi Bado naamini Kuna kitu. Ukimya wa watu Mashuhuri wa CCM juu ya jambo hili, utatupa jibu soon

Na mama mwenyew hatambui hilo. Lakin ndo navena hiyo. Inafanya mtu awe kichwa ngumu kabla ya kumwangusha
 
Siyo ukaribu tu na Catholic church.Nchimbi amesoma Upadre (Major seminary Peramiho) amesoma darasa Moja na Askofu Joseph Mlola wa Jimbo la Kigoma ,na Askofu Urasa.Kanisa Katoliki analijua vizuri na wanamjua vizuri pia
Mimi Bado naamini Kuna kitu. Ukimya wa watu Mashuhuri wa CCM juu ya jambo hili, utatupa jibu soon

Na mama mwenyew hatambui hilo. Lakin ndo navena hiyo. Inafanya mtu awe kichwa ngumu kabla ya ku
Siku zote magenge they can't get along for along time. Lazima yakorogane tu
Tena kwa kosa kubwa walilofanya sasa. Lazima wavurugane, unless sio binadamu
 
Timu lowasa wapo, Timu magufuli waliojeruhiwa wapo pia wapo waliokosa ubunge vyeo ccm, Nchimbi akitaka watu ndani ya ccm wapo wengi wasiopenda yanayoendelea Nchini kwa sasa
Wapo lakini hawana nguvu ya kuwababaisha "WAHUNI" ndani ya chama na kwenye mfumo wa ulinzi na usalama.
 
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.

Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.

Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.

Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.

Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.

Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Siyo ukaribu tu na Catholic church.Nchimbi amesoma Upadre (Major seminary Peramiho) amesoma darasa Moja na Askofu Joseph Mlola wa Jimbo la Kigoma ,na Askofu Urasa.Kanisa Katoliki analijua vizuri na wanamjua vizuri pia
Sinema hiyo ni tamu sana kuiangalia. nikwamba genge la mtandao ndani ya ccm kwa siri kubwa ni wanachimbuko tokea Muslim Brotherhood (MB). Itikadi kubwa ya MB ni islamization na waislamu kushika hatamu ya madaraka. Ndiyo maana Lowassa wakamsaliti na baadae Membe walimsitukia. Hawa watu wamejipanga kama hamjui. Na trick kubwa wafanyayo ni hadaa (Taqqya). Msione akina Chande kwa sura yao ya njee ya haki mkafikiri hawako jumuishi. Sasa Mungu fundi, Ujanja wote wakajichanganya na Nafasi ya VP. Unachosema ni kweli kichwa kinawazunguka na hasa wakisikia nabii zinazoendelea za msiba wa Taifa. Hawa watu Mashetani kweli kweli huku wakitabasamu kwa sura ya rais mstaafu. Nchimbi hayuko salama.
 
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.

Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.

Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.

Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.

Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.

Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Ajiangalie Samuya asije akamuua kama alovyomuua Magufuli.
 
Hapo kwenye kubadili kipengele cha makamu wa Rais kuja kuwa Rais ikiwa kitatokea chochote kisichotarajiwa nasikia nikweli , huu mjadala upo active sana hata sasa kwenye kamati nyingi za ulinzi na usalama .

Ila hapo kwa Nchimbi kuja kuwa bora na pengine kuja kuwageuka kindi lililompambania kumuweka alipo ,nadhani ninamna tu yakujitengenezea faraja ya bandia

Chakwanza licha tu ya Nchimbi kutokuwa na hiyo spirit lakini muundo wa hayo kuja kufanikiwa siyo mwepesi kwa kiwango hicho wazee .

Kundi la mtandao ni moja kati ya makundi hatari sana Duniani , kabla hawajaridhia kumuweka kwenye hiyo nafasi ,jamaa alipembuliwa kwa viwango vyakutosha sana na mwisho akaonekana hana madhara kwao
Hana madhara?
 
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.

Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.

Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.

Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.

Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.

Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Siku Samuya akimuua Nchinvi kwa sababu ya ukatoliki wake, nchi itawaka moto. Asidhubutu hata kidogo kufanya uhaini huo.
 
Back
Top Bottom