Devil😈There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Devil😈There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Kiranja pekee anaekufanya unakunja nne ndani ya sgr dar dom masaa 3 tuu.....kiranja pekee anaekufanya ukifika kibaha mpaka ubungo unateleza tuu na barabara nane bila wasi.....Hakuna raisi pale , pale kulikuwa na kiranja tuu
Sahihi kabisa, mtu sahihi kwa watu wasio sahihi.Mh! ukute nchi ndo haikumfaa nafikiri yule angekuwa kwenye nchi ambayo ipo serious angeifikisha mbali!, lakini alikuwa akipambania rasilimali hapohapo watu wa humuhumu ndani wanampinga!.
Mi naona kama nchi ndo haikuwa tayari kuwa na kiongozi wa namna yake maana imejaa wahujumu uchumi tupu!, hata hivyo nimeshangaa ulipoonyesha kama kifo ndio sababu ya yeye kuwa kama hitimisho la uongozi wake!. Ndugu sote tutakufa tu so please don't take it as a judgement.
U re very right!There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Toa ushahidi jinsi mungu alivyomuweka mwehu yule kuwa rais,waliowaambia mamlaka inatoka kwa mungu waliwaweza sana watu msio na brains kama wewe,mungu anaweka mahayawani?It's not true!, ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, kitendo cha JPM kuwa rais, hicho pekee tuu, ni uthibitisho wa mpango wa Mungu!, kila kitu ni Mungu anapanga!.
Ili mtu yoyote uweze kuwa rais wa nchi yoyote, ni lazima kwanza upate kitu kinachoitwa Kibali!.
Hiki kibali kinatolewa na YEYE, na huwa kina masharti na maelekezo, ukikamilisha kibali kinakuwa kimeisha muda wake, ukikiuka , kibali kinafutwa anapewa mwingine!.
Kilichotokea kwa JPM ni kibali cha one term only, tena watu humu tulishauri sana tuu kama hapa
- Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".
- Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
- "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Alipolazimisha 2nd term, kibali chake kikafutwa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
Mwisho Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Yeah huwezi kukubalika na wote hata iweje.HAo wanyonge aliowakandamiza hawakumlilia --- wanyonge wengine walimlilia
Niwe na chuki na shetani kwa sababu ipi? Watu wanasema tu ila kiuhalisia hakuna mwenye chuki na shetani.Hivi wewe huna chuki na shetani wakati wote ?
Kama huna chuki na shetani , basi nawe utakuwa ni shetaniNiwe na chuki na shetani kwa sababu ipi? Watu wanasema tu ila kiuhalisia hakuna mwenye chuki na shetani.
Chuki ni hisi na hisia huwa na sababu zake, huwezi kusema tu mie namchukia shetani kisa tu shetani ni adui kiimani.Kama huna chuki na shetani , basi nawe utakuwa ni shetani
What about your father? Is/ Was he?There is always a say that survival of the fittest. Actually jpm was not a presidential material and this made him be like a monster because he did not not know where to start and where to end.
Sio kukubalika --- alidhulumuYeah huwezi kukubalika na wote hata iweje.
Ila pamoja na hayo bado utawala wake ulikubalika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na utawala wa sasa ambao haudhulumu.Sio kukubalika --- alidhulumu
Nani aliukubali zaidi ya wewe na wantonge wenzako mliotengenezewa unyongeIla pamoja na hayo bado utawala wake ulikubalika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na utawala wa sasa ambao haudhulumu.
CRiteria ya kukubalika sjajua ni ipi, lakini kama ni majengo na miundombinu mingine nayeye kaifanya --- kutesa wapinzani wote wametesa, hawa wanaofanya kutomkubali lakini walimkubali yule mwingine --- wanakua wazushi mkuu,Ila pamoja na hayo bado utawala wake ulikubalika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na utawala wa sasa ambao haudhulumu.
Huwezi kutengenezewa unyonge kama sio mnyonge, hata wewe hapo ulipo ni mnyonge pia.Nani aliukubali zaidi ya wewe na wantonge wenzako mliotengenezewa unyonge
Ni kweli wengi hawajui ni kipi ambacho kimefanya watu wamkubali Jiwe, majengo na miundombinu sio sababu za kukubalika Jiwe maana hayo pia yapo na yatasifiwa kuliko wakati mwengine wowote.CRiteria ya kukubalika sjajua ni ipi, lakini kama ni majengo na miundombinu mingine nayeye kaifanya --- kutesa wapinzani wote wametesa, hawa wanaofanya kutomkubali lakini walimkubali yule mwingine --- wanakua wazushi mkuu,
DHana kwamba Magu wamemuua + Rais mwanamama wa kizenjiNi kweli wengi hawajui ni kipi ambacho kimefanya watu wamkubali Jiwe, majengo na miundombinu sio sababu za kukubalika Jiwe maana hayo pia yapo na yatasifiwa kuliko wakati mwengine wowote.
Huwezi kutengenezewa unyonge kama sio mnyonge, hata wewe hapo ulipo ni mnyonge pia.
Samia kaniondolea unyonge uliotengenezwa na jpm