Rev. poa moto. Kwa mtizamo wangu Lowassa kama Lowassa hana tatizo; tatizo ni TABIA yake, hiyo roho inayomsukuma kutaka kuleta yale yanayoptokea huko kwa majirani zetu Kenya.
Hiyo TABIA ya tamaa, kiburi, dharau, ubinafsi,...hiyo tabia hiyooo, inabidi iuawe mapema kabla hatujafika mahali pa...