Ni taarifa tu na baadaye mnaweza kuifuta hii thread.
Matokeo ya mwaka huu yanapatikana
www.necta.go.tz
Matokeo ya mwaka huu yanapatikana
www.necta.go.tz
St. Mary wanaongoza kwa kutoa 10 bora kitaifa.. siri yao ni nini?
Ni St Francis Girls MBEYAA, Siri yao wanadai ni kusali saanaa
Go go girls! Siri ni kujiamini kuwa unaweza. Hili limenifurahisha sana kwamba watoto wa kike wameweza kutambua uwzo wao na wamefanya kweli! Bravo St Francis.St. Mary wanaongoza kwa kutoa 10 bora kitaifa.. siri yao ni nini?
Is there any body who knows other site which shows the results
Go go girls! Siri ni kujiamini kuwa unaweza. Hili limenifurahisha sana kwamba watoto wa kike wameweza kutambua uwzo wao na wamefanya kweli! Bravo St Francis.
Zamani sisi tulipoliburuza paper kule Zoo walidai eti tumeonyeshwa! Wanaume bwana wanaona sisi hatuna akili....au
We mkuu umepewa kiunganishi cha tovuti ya Umma inayogharimiwa na walipa kodi, sasa unataka tovuti gani tena?
Mwanakijiji can you help this person?
NAHISI KAMA FISADI VILE!!!!!!!!!!!11We mkuu umepewa kiunganishi cha tovuti ya Umma inayogharimiwa na walipa kodi, sasa unataka tovuti gani tena?
Mwanakijiji can you help this person?
Ni kweli hii site ya NECTA huwa ni slow sana na tangia jana walipotangaza matokeo haifunguki kabisa!Masanja,
Either U are naive or a kind of Govt agent. Site ya NECTA huwa haifanyi kazi ikipayta hits nyingi, wengine tumeshalalamika mpaka kwa wakubwa lakini hawataki kuongeza bandwith.
Ni tatizo sugu serikalini, huwa hawaendi na wakati.
Kwa ufupi hiyo link ya results haifanyi kazi barabara!