tgeofrey
JF-Expert Member
- Jan 29, 2008
- 561
- 15
Wazee Tulizeni Boli Ndio Kazi Imeanza Hivi Unafahamu Kwanini Mawaziri Wa Mambo Ya Ndani Sehemu Mbalimbali Duniani Wanasema Jamani Hee Wale Wote Wenye Silaha Za Kutumia Ruisasi Za Moto "wanaombwa Wazisalimshe Kwenye Vituo Vya Polisi Kuanzi Tarehe Fulani Hadi .....tunawahakikishia Hatuta Wafungulia Mashtaka. Hii Inaitwa Kipindi Cha Dirishani Yaani Window Period. Maana Yake Kama Kuna Moto Sio Ulazmishe Kupita Mlangoni. Mara Nyingi Kesi Kwa Kipindi Hiki Cha Mwazo Zinzsababishwa Ushahidi Kukimbizwa Hofu Kuzidi Pia Hatutaki Kuwapoteza Mashahidi Kwa Shinikizo La Damu. Tuwe Nao Tuwapende Watubu Kwa Hiari Tusonge Mbele.hii Tanzania Unayoombea Kila Siku Iko Njiani Usihofu Vitukuu Vyetu Watafikia Hapo.aslimia Zaidi Ya 95 Kwa Hisia Zangu Tulikaa Mkao Wa Wapi Tutapata Deal Tujikwamue Na Umasikini Na Aina Ya Madeal Ndiyo Hayo Hayo Wenzetu Wametuwahi. Sasa Tuamue Kuanda Kizazi Cha Kuishi Kwa Maadili Lakini Sio Hichi Kizazi Chetu Kilicho Jaa Mapungufu Ambayo Sio Nia Yetu Kuwa Nayo