Kagame wants Coup in Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagame wants Coup in Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 31, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 31, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Rwandan President is calling for the Kenyan army to step in and stop the senseless killings. He argues that when institutions have failed to protect the people the only institution that should have the last say is the army.

  The former rebel turned president says at a time when there is so much bloodshed a suggestion for an army intervention should not be seen as radicalized.

  Please read the whole story in KLH News.. as it is in the News Alert..
   
 2. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  MMJ,

  Shukrani kwa hiyo habari lakini kumbuka niliwahi kusema tuhesabu 10days kuna kitu kitatokea soon. Mimi naamini hii inaweza kuwa ni indirect messege kwa Kibaki(kunaplot siku nyingi inafanyiwa kazi)

  Hint: Ole wake Kibaki aende Ethiopia kwenye meeting ya AU, It is a possible day(just speculation)
   
 3. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2008
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Asante sana MM. lakini mbona sioni hiyo habari unayosema kwent KLH News mzee?

  may be hapa.
  http://thisisafrica.wordpress.com/2008/01/31/kagame-recommends-a-military-takeover-in-kenya/
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jan 31, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Iko mbele kwenye News Alert..
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  But can this be a solution? at least a reliable one????
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Jan 31, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  The military belongs in the barracks period!!!
   
 7. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  What barracks?!! The military intervention in Kenya situation is more than important now. Kibaki has violeted the democratic procedures, then the only solution is the army to take charge.
  Kibaki is the stupid mzee in East Africa now; shamelessly clinging in power. He is riding Kenya in Somalia way..surely Kenyans pride is robbed..Poleni Wakenya..sisi kukataa EAF fast tracking mkatulaumu, mmeona logic yetu ati ee...Huyo mzee atolewe kwa jeshi na uchaguzi urudiwe.Mtu yeye amefika kufa(age 71+) anataka afe na wengi!
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu, the era of military to be in control is over. For sure it is the easiest way to stop the killings, lakini wanajeshi wakiingia madarakani ni jambo baya sana, kwanza watasimamisha katiba na wataelata kipindi wanachoita cha mpito cha miaka mitano kabla uchaguzi huru haujafanyika, then kipindi hicho kikiisha, wao wenyewe wanavua magwanda na kuanza kutawala kipindi cha kwanza wakiwa civilians (watashinda tu uchaguzi hata na kwa kuwa wao ni jeshi,[sio luo or Kikuyu] hakuna atakayewapinga, na baada ya cha kwanza kwisha wanaingia cha pili, na wataendelea kurithishana, and Kenya itakuwa ya jeshi.
  Kagame anacheza,
   
 9. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kagame hachezi, ila yeye n jeshi kwa hi mawazo yake utayaona wapi yalipolalia
   
 10. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #10
  Jan 31, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135

  Oya Kaka heshima yako upewe,

  Mie nikisema the military belongs to the barracks najua ninachosema kulingana na siasa za Kenya.Hio military iki-take over itakua ni Kibaki tena kupitita mlango wa nyuma.He can manipulate the military to take over so as to rule by proxy...nd'o maana nasema wabaki kambini.It is the kenyan people, the masses who need to take over.
  Unajua Kibaki gambled thinking hizi riots zitakua Nairobi peke yake.Kisha atatuma mgambo(Kenya wanaitwa GSU na wako sophisticated kidogo kushinda wa bongo) na mwera za kawaida kisha baada ya siku mbili tatu mambo yatatulia.Hakudhania hili bomu litalipuka Kenya nzima na the police will be stretched too thin.The exact scenario playing itself out as we speak.Kisha humo ndani ya polisi tayari wamegawanyika kishenzi.Kwa hivyo inabidi afuatilie plan B.
  Plan B yake nd'o kidogo inaogopesha watu maana tetesi ipo kwamba lile genge la Mungiki(wakikuyu hawa) litatumika kuleta fujo na ghasia kisha itabidi atoe amri ya State of Emergency and then rule by martial law.Hapo nd'o hio army inaingia barabarani. Kama army ingekua independent and with the interests of Kenyans at heart wangekua wamefanya hivyo kitambo sana...immediately Kibaki was announced the winner and that fake swearing in ceremony...hapo nd'o wangefanya kweli.As it is, they are getting their instructions from Ikulu.Si umeona juzi walipelekwa Nakuru na Naivasha kusaidia polisi wa kawaida.Amri yenyewe unafikiri ilitoka wapi?The top officers in the Kenya army are already compromised.Wale junior ranks nd'o wako na watu na they don't have enuff clout as it is.Kwa hapo nadhani umenipata.

  P.S. I hate Kibaki with a passion.Kama ulivyosema ni mzee tu sana and he needs to be in a nursing home using diapers.Nadhani jamaa hujikojolea akiwa amekaa.Unajua ana-historia mbaya sana ya ulabu? Hivi vigunge nd'o vinatulostisha watu wa Easti...mwengine ni M7.
   
 11. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #11
  Jan 31, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135


  Well articulated bro.Need I say more?
   
 12. M

  Mama Lao JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 238
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I support Kagame's idea. Wananchi wa KEnya wanataabika na wengine wanakufa...why don't we have a sensible coup? Si ndicho alichokifanya Kibaki.
   
 13. M

  Mwendapole Old JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2008
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 249
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unabii unakaribia kutimia.
  Nilitaja siku nyingi interest za mataifa kadhaa. Sasa Kagame kaamka baada ya kujifanya kalala. His has more reason than one to intervene. Lets keep our ears on the ground; hakuna kitu tumeona bado...
   
 14. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #14
  Jan 31, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145

  I think it will help to stop the senseless killing. The only problem with the army, judging from history especially with Nigeria as a case example, is when they decide to convert themselves into civil politicians. Otherwise, this could be the most viable solution for now and for this I want to say a big thank you to Kagame.
   
 15. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #15
  Jan 31, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  But this is exactly what Kibaki has done. Hivi unafikiri kama tungesubiri demokrasia kule Rwanda 1994 tungekuwa wapi sasa hivi? What is happening in Kenya is slowly but surely sliding towards the direction of the 1994 Rwanda genocide. Sasa mnataka tusibiri tena watu wafe malaki ndio hatua zichukuliwe? Mimi naona kwa sasa cha kwanza kabisa ni kusimamisha mauaji ya watu na nitaunga mkono kila hatua ya kufikia hapa. Mauaji yanayoendelea sasa hivi hayataleta demokrasia kwa wakenya zaidi ya kusimika chuki miyoni mwao. Historia inatuonyesha kuwa mauaji yaliyowahi kuleta demokrasia ni yale yaliyohusisha wananchi na state organs sio wananchi kwa wananchi wenyewe, and this is the sad story for Kenya.
   
 16. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Africa's past experiences with Coups, have proven that nothing good comes out of a military Government. The civilians will suffer even more. Democracy, Independent judiciary and transparency is what we really need, in AFRICA. What we do not need is the TICK/KUPE mentality to "nyakua", and not stop till we burst. GREED is our undoing. We can all cry but change must begin from US. What we need to fight also is the Big Man Syndrome. The government has to be accountable to the masses. Other young democracies have managed their economies, but not the ones in AFRICA. We should not feel offended when other societies/Cultures (read Western world)refer to US as savages, dark continet etc... They are gong by what they see us mete out to each other.
   
Loading...