Recent content by mwela

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu walileta ugali Afrika kwetu, Je ili kutupumbaza?

    Kwa hiyo unashauri tule nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa posta na ubaguzi??

    Mie napita tu naenda kanisani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabula una hali ngumu kuiongoza Mwanza

    duuuuuuuuuuu!nomaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huduma kuhamisha pesa kwenda m-pesa imewashinda ondoeni tu inatutesa sana maana unahamisha pesa leo unapata pesa kesho.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki sasa kutumia namba mpya zinazoanzia na MC 101 AAA

    huu ni upuuzi kabisa kutoza sh.10000 maana makosa walifanya wao tangu mwanzo.km nia njema kwanini isiwe bure tu maana unaponunua pkpk mpya hayo unakua umelipia halafu tena kwenye kubadili unalipia tena huko ni kukosa ubunifu kwa serikali ya ccm wanataka kupiga hela ki-aina! tena ni uonevu na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    maisha ni hesabu zako mwenyewe,maisha hayana kanuni kila mtu na stepu yake kamwe ucjaribu kuiga staili ya mwenzio...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyongezaaaaa ya mshahara kwa waalimu

    hakuna cha mwalimu wa science wala art wote ni flat rate.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    piga keleleeeeeee... oyooooooo!!!! hatimaye boom tayari mazeee limeingizwa jioni hii....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Hongereni sana NMB,please one more month please..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    kwetu mbeya bana!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    mshahara mpaka leo kimya vp kulikoni? maana sio kawaida. mwenye report atujuze.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

    uongo ulotukuka ndo huo xaxa hakuna connection wizi mtupuuuuuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania CWT ya Tanzania imejifunza nini kutoka kwa "CWT" za Kenya na Uganda ?

    ndo maana walimu wa mkoa wa kigoma walijitoa cwt.kaz kukata hela tu na kujenga magorofa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwalimu mwenye shahada

    Mwalimu mwenye shahada ya kwanza akiajiriwa shule ya sekondari huitwa AFISA ELIMU DARAJA LA PILI na huanzia na ngazi ya TGTSD sh. 532000= wakati kiwango hichohicho cha elimu akiajiriwa ktk chuo cha ualimu huitwa MKUFUNZI na huanza na mshahara wa TGTSE sh.740000= Je, serikali sikivu ya CCM...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kupaa kuelekea 2015

    Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42. Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75. Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103" Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467. itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha...
Back
Top Bottom