Nimetoka Ubungo nakutana na magari kama sita ya usalama wa taifa yanapiga vingora kutokea morogoro kuangalia ndani ya gari lililopo kati Namuona Magufuli nafikiri anatoka Dodoma, waungwana nisaidieni waziri tu anapigiwa security kali hivyo bila hidden agenda?
Leo nimejituliza home baada ya afya kuyumba sijaenda job, nikaona nitumie muda huu kuangalia vipindi vya TBC1, ambapo waliweka kipindi cha bunge na saa saba taarifa ya habari. Cha kushangaza bungeni mawaziri vivuli kambi ya upinzani Zitto na mrs Lissu wameleta mawazo mazuri kwa serikali TBC1...
Ila naona kama mtoa mada hii umepotosha uma maana mimi nipo karibu sana na directorate ya postgraduate UDSM, hakuna requirement kama hizo zimewekwa zaidi ya second class kwa kozi nyingi! umepata wapi info zisizo kweli unaweka kwenye JF bila kuwa na evidence? Jamani hili jukwaa tulipe heshima yake!
Hii nimeipenda sana inanikumbusha mbali enzi hizo tunachunga ng'ombe msitu wa forest na mbugani! tukawa TUNAFURULA(kurudia kutafuta mahindi shambani mlimovunwa), mwenzako ANAKUSORA(anakuchagua ukarudishe ng'ombe wasiende mbali) wakati wewe unajenga KABUNGUJA kwa kutumia MAMOMA!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.