Size ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako.

Hii formula yako inafaa hata kwa mwaka jana?

inaweza kutumia hata mwaka unaokuja au mwaka jana....pale hatua ya mwisho unapojumlisha 1012 ukitaka kujumlisha unaweka 1011.
 
Hapo si tayari una mwaka wa kuzaliwa unatosha kupata umri sasa hayo macpomplication mengine ya nini mwenzangu?
 

6.halafu toa mwaka ulipozaliwa
Mbona naona ka kupoteza muda tu, mtu unajua mwaka uliozaliwa unaangaika na hizo hesabu nyingine za nini sasa?. Wakati unatakiwa uchukue 2012- huo mwaka uliozaliwa.
 
Hesabu yako ina conditions mkuu Excellent, kuna miaka haikubali, labda jaribu wewe kwa mzee wangu aliyezaliwa 1911 na anavaa size 43. Kwa wanamahesabu kukiwa na conditions unazibainisha mapema otherwise hukufanya testing yako vizuri. Hongera sana ila kumbuka kuweka condition maana naona miaka mingi inakataa.
 
Mi sijataka kuuumiza kiiiichwa!!! nimetumia short cut nimechukua 2012-1979=33
MP.
 
Back
Top Bottom