Mtoto aliyefanya ajabu la nane la Dunia

Mtoto aliyefanya ajabu la nane la Dunia

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,144
Reaction score
166,077
Mtoto kapelekwa hospitali na mdingi wake, docta akawa anamuandikia dawa, baba yake
akatoka nje kuongea na simu. Mtoto akamuinamia daktari akamwambia kwa sauti ya chini
chini, 'Dokta kwenye dozi andika Fanta Baridi,chips na kuku kila siku kwa siku 30,kutwa
mara tatu'
 

Attachments

  • Bujhu-001.jpg
    Bujhu-001.jpg
    30.7 KB · Views: 400
Mjomba hii picha ni wewe kabisa nilikuwa nimeanza kukusahau dah kweli siku nyingi!
 
Mi naona dactari amwandikie tu, huenda ana alegi(mzio) na vidonge.
 
Hichi ndicho kizazi cha .Com, Facebook,Twitter na Digitali utaipenda
 
Back
Top Bottom