MiSeMo yEtU jIjIni MbEyA..! OnGeZa yA mKoAnI kWaKo bASi.

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
kuna baadhi ya misamiati
au majina ya kiswahili
ambayo wanayajua
walioishi mbeya kwa mda
mrefu tu!! wa
mikoa mingine hawayajui mfano,
FONKA=FOREST
BOGI=MVUA,
SIBWE=Mwanaume
aliyekomaa mwili kishenzi
KAKSI=mtu kauzu/katili,
MOMA=JIWE LA UDONGO, BONKO au
BONYO=parachichi
hebu + misemo ya mkoani/lugha yenu tuifaham basi.
 
We jamaa ni noma coz umenikumbusha mbali sana. tuongeze na hii kibunguja,gozo(halizeti),ngoko(mkokoteni/kwama),mpafu(mlafi). kama ujaishi mbeya lazima upotezwe...
 
Jamani mi nimeshindwa kusoma taito ya hiyo siredi! Ngoja nikaazime miwani labdaitasaidia.
 
Hii nimeipenda sana inanikumbusha mbali enzi hizo tunachunga ng'ombe msitu wa forest na mbugani! tukawa TUNAFURULA(kurudia kutafuta mahindi shambani mlimovunwa), mwenzako ANAKUSORA(anakuchagua ukarudishe ng'ombe wasiende mbali) wakati wewe unajenga KABUNGUJA kwa kutumia MAMOMA!
 
Raha ya kabunguja (KADUYU) ujengee NDOPE hapo utakuwa na uhakika wa NDURUSI (bisi)
 
mbeya noma, neno kama D*NYA,sjawah liskia kwngne kokote zaid ya Mby
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom