Mdogo wake Mbowe ahusishwa kuharibu matokeo baraza la mitihani.

Jaman mleta mada kajiunga JF 2013 so ni wale wanaolipwa elfu saba 7000 na lumumba kuja kuleta uchafu JF

Punguza Munkari, wewe mwenyewe umejiunga March 2012 na wewe unalipwa kiasi gani na hao wanaokushughulikia shida zako za nyuma?
 
mbowe ni mzigo kwa taifa, anatakiwa afikishwe mahakamani kwa uhujumu wa elimu

Hivi ww una akili timamu kweli...eti 'Mbowe ni mzigo wa taifa' mambulula kama ninyi ndio mizigo kwa taifa.kwa hiyo Mbowe aporomoshewe matatizo yoote ya ubovu wa elimu TZ..toa uchizi wako hapa.
 
aeleze sababu za kutosha kwanini afukuzwe la sivyo aache uzandiki wake... afukuzwe kisa tu ni ndugu yake mbowe? nonesense....

anasema anahusika na uvurugaji wa matokeo ya mtihani wa watahiniwa wa kiislamu ambayo waislamu waliandamana kuyapinga.
 
Said Mtanda ambaye ni mbunge wa Mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba Josefu Mbowe ambaye ni mdogo wake na Fremani Mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale Baraza la Mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.

ni walewale waliosema kwamba elimu magharibi ni ukafiri, leo hii wanakumbuka shuka wakati kumekucha, mtalalamika sana. nyakati za jioni wapeleke watoto kwenye elimu dunia badala ya madrasa, mtoto dini tu sio lazima asome kiarabu ambacho hakina umuhimu sana kwa maish YA SASA. AMKENI NDUGU ZANGUNI.
 
Pia huyo mbunge hana hoja kwanza hayuko makini maana Joseph Mbowe hayupo baraza la mitihani mwaka wa pili huu, sasa hayo matokeo kayharibu wapi?
 
kwanini wasingemuomba ushahidi? sasa mtu 1 ndo ahujumu matokeo ambayo yanapoitishwa na senate. mbunge gani huyu afikirii anaweka ushabiki wa chama mbele?
 
Acha ujinga majungu fitina....ni ukoo tu hawana uhusiano mmoja mrombo. Mwingine mmarangu ..lingine ?fisadi wewe

Nani mRombo na nani mMarangu!? Maana Freeman Mbowe ni mMachame..
 
Said Mtanda ambaye ni mbunge wa Mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba Josefu Mbowe ambaye ni mdogo wake na Fremani Mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale Baraza la Mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
Huyo mdogo wake ni Mzanaki au mchaga. F Mbowe ana utu na huruma na ni mwanasiasa aliyerithi viatu tofauti na wasio jitambua
 
Pia huyo mbunge hana hoja kwanza hayuko makini maana Joseph Mbowe hayupo baraza la mitihani mwaka wa pili huu, sasa hayo matokeo kayharibu wapi?

Hii naona imeingia patamu, naona leo mnapagawa.
 
kama amesema hivyo kweli, basi wagonjwa wetu wa ubaguzi wameenda mbele zaidi, sio tu dini na kabila, sasa ukiwa ndugu au una jina linalofanana na la kiongozi wa cdm unafaa kunyang'anywa kibarua. mfukueni kazi jery slaa maana ana jina lake linafanana na mwy.kiti wa cdm
 
Nadhani bila kujali ni ndg yake nani, ana rangi gan au ni mwnachama wa chama gani kuna taratibu zinazotakiwa kufanywa pale inalazimu mtu kuachishwa kazi! Otherwise itakuwa tunatafuta nani ndg yake flani katika chama, taasisi, kampuni au serikali na kushupaa kufukuzana bila kuwa na grounds za kufanya hivyo.
 
mods wamelala.....thread za mipasho kama hii hazistahili kuwemo humu..
 
aeleze sababu za kutosha kwanini afukuzwe la sivyo aache uzandiki wake... afukuzwe kisa tu ni ndugu yake mbowe? nonesense....
We akiri yako kama makalio yako.
We hujasoma vzr uzi?anasema afukuzwe kwa kuhujumu matokeo,sio eti kwasababu ni ndugu yake Mbowe!
 
Back
Top Bottom