Utaratibu mpya kwa wanaotaka kujiunga na MASTER DEGREE UDSM

boggie

Member
Mar 12, 2012
26
1
KWA WALE AMBAO HAWAKUSOMA UDSM awe na first class kutoka katika vyuo HIVYO. isipokuwa kwa wale waliosoma UDSM; wanaume wawe na GPA ISIYOPUNGUA 3.5 na wanawake wawe na GPA ya 3.3

Wana JF hii inapeleka ujumbe gani kwa vyuo vingine?
 
Kama UDSM ndo ingekuwa inatoa masters peke yake ingeweza umiza vichwa vya watu!
Mtakuja ujutia huo uamuzi
 
KWA WALE AMBAO HAWAKUSOMA UDSM awe na first class kutoka katika vyuo HIVYO. isipokuwa kwa wale waliosoma UDSM; wanaume wawe na GPA ISIYOPUNGUA 3.5 na wanawake wawe na GPA ya 3.3

Wana JF hii inapeleka ujumbe gani kwa vyuo vingine?

Kuna tetesi kwamba Mzumbe University wamekwisha andaa utaratibu utatoka mda si mrefu. Hakuna mtu yeyote atakaye jiunga kufanya Masters akitokea Udsm bila kufanya Postgraduate diploma. Hii yote inatokana na kutokuamini products za UDSM hata kama ni first Class
 
mzumbe hawana jeuri hiyo.over
 
Wanahangaika tu masters wangekuwa wao peke yao ningewaza.Tupa nje huko kwanza elimu ya kiccm nani anataka
 
KWA WALE AMBAO HAWAKUSOMA UDSM awe na first class kutoka katika vyuo HIVYO. isipokuwa kwa wale waliosoma UDSM; wanaume wawe na GPA ISIYOPUNGUA 3.5 na wanawake wawe na GPA ya 3.3

Wana JF hii inapeleka ujumbe gani kwa vyuo vingine?
huwa nashangaa sana UD kujiona a very unique varsity, wakati varsity kama SUA ina "pass mark 50% and above" na ina fundisha science subjects, sifa za UD nini hasa? ulimbukeni unawasumbua
 
tatizo la kanchi kadogo kama haka, hiki kizazi cha hawa wazee kikiisha tu, maisha yatakuwa bora sana.. sasa haya mambo ya kufanya maisha kuwa magumu hivi maana yake nini..si kuongezeana mawazo tu..umeme hamna..barabara hamna, hospitali hakuna dawa..bado pia elimu inakuwa shughuli..jamani...hii nchi inahitaji maombi , san sana hawa wazee..naona kama vile..wanazidi kuchanganyikiwa siku zinavyozidi kwenda mbele..watuachia nchi yetu sasa wakapumzike majumbani kwao..
 
si lazima kusoma udsm kwanza ni chuo kinachoongoza kwa kuzalisha mafisadi wa nchi hii.wezi wote wa mali ya uma ni zao la udsm.im signing out huu uchafu umeniharibia mood
 
Watakosa/watapata wanafunzi wachache sana wa LL.M maana kwa UD wenyewe first class kwa miaka mingi haijapatikana na wanafunzi uwa wanaanzia upper second nao uwa ni wachache.
 
Ila naona kama mtoa mada hii umepotosha uma maana mimi nipo karibu sana na directorate ya postgraduate UDSM, hakuna requirement kama hizo zimewekwa zaidi ya second class kwa kozi nyingi! umepata wapi info zisizo kweli unaweka kwenye JF bila kuwa na evidence? Jamani hili jukwaa tulipe heshima yake!
 
Back
Top Bottom