Recent content by mwandiga obode

  1. M

    UDART yapiga marufuku polisi, viongozi, walimu na walemavu kupanda bure

    Kwa polisi naona bado mtagandishwa sana kwenye makutano. Kumbuka mmesema mnachangamoto ya kucheleweshwa maeneo hayo na mnatafuta ufumbuzi ni ufumbuzi gani huo wakati mdau muhimu mnatafuta anza kumsurubu kwa nauri
  2. M

    TRA, Road licence mnazodai zinakwamisha ulipaji kodi

    Kabra ya kuliuza kama Chama chakavu ulipaswa kumwita mkaguzi wa magari toka polisi athibitishe kwamba hiyo gari ni right off na haifai tena kwa matumizi. Baada ya hapo angekujazia form maalum ambayo ungeipeleka TRA,wao wangeifuta kwenye mfumo.
  3. M

    Anayetuhumiwa kutoboa macho Buguruni DSM apandishwa Kizimbani

    Wewe kama sehemu ya jamii nini mchango wako katika kutokomeza uhalifu huko mtaani kwako.
  4. M

    Nguvu ya Maamuzi juu ya Maisha Yako ya Kitajiri hapa Duniani

    Ukimchunguza sana bata huwezi Kuala. Mambo mengine hujiseti unapokuwa ndani ya biashara. Ukitaka uwe na kila kitu utasubiri sana.
  5. M

    Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

    Kwanini asikumiliki iwapo ni makubaliano yenu?
  6. M

    Huyu dada anautesa moyo wangu..!!

    [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
  7. M

    Mke wangu ana sura mbaya

    Aliye kwambia mwanamke sura nani? Mwanamke tabia baba.
  8. M

    Samweli Sitta ni Mgonjwa

    Pole yako mzee
  9. M

    Mke wa jirani yetu ananiathiri kisaikolojia

    Ikimbie zinaa ikishindikana kwa kutumia akili basi kwa miguu yako.
  10. M

    Nifanyeje nipendwe kama zamani?.

    Ngoja tuwasubiri wataalamu wa masuala ya mahusiano
  11. M

    Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    Huh ni utmaduni Mbaya. Wakutowajali wahanga wa maafa na tuwe na upendo.
Back
Top Bottom