RASHIDI OMARY
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 524
- 501
Kila mtu na maisha yake mnawashwa na nini?
khaaaaaaWewe hujawahi kutoa tigo mkuu??
Usifiche,declare please!khaaaaaa
Kama yupo Ladha hata kukupa Tigo Michepuko ya nn sasa...............Mimi naishi na mwanamke ambaye ana sura mbaya yaani unaona hata aibu kutoka nae out, watu wengi hasa wanawake wananisema mimi ni handsome sistahili kuwa na mke huyo, ila anaihudumia vizuri ananipa peace of mind japo ana kauvivu kidogo yaani anapenda kulala lala, hata kupunguza nyasi nyumbani hadi akodi kibarua. Hajui kubuni miradi, ila ni mvumilivu hanisumbui kwenye pesa. Ananilinda sana, yaani kama kuna watu nawadai anakomaa nao kisawasawa. Sifa hizo zimenifanya niishi nae hadi leo.
Ila sasa ana wivu balaa, yaani asione simu imepigwa kwangu au miss calls lazima ajue ni nani, na kama ni mwanamke lazima akomae nae kwa nn kanipigia.
Nikijaribu kutongoza michepuko huwa inanikatalia eti wanamuogopa mke wangu. Nimeweka password kwenye simu yangu naye kaweka, nashindwa kumchunguza kama kuna watu wanampiga mashine. Zamani alikuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake yaani ni very social to mens than womens. Nashindwa kumsoma kabisa. Ila toka nimuoe mwaka 2003 hajawahi kunizingua katika suala la unyumba, yaani hata nikitaka 0713 anaweza nipa bila kulalama. Watoto anaonizalia, wanafanan naye. Nataka watoto wazuri kama mimi, baada ya kuzaa nae watoto wawili, sasa ana mimba tena ya mtoto wa tatu, namsikilizia.
Hahaha we binti huishiwi kwa vitukoMm sina cha kukushauri, ila naomb mnijuze maana ya 0713 na namba nyingine huwa mnamanisha nn?
Vituko gan?Hahaha we binti huishiwi kwa vituko
Hilo swali umemuuliza kwa umakini Mkubwa as if u real don't knowVituko gan?
I swear nilikuwa cjuiHilo swali umemuuliza kwa umakini Mkubwa as if u real don't know
Oops!I swear nilikuwa cjui
23yrsOops!
Una miaka mingapi? Labda tuanzie hapo
Not too bad..23yrs
Hahahahhahhahhaaaaa uwiiiiiWe ni Kichaa nini? Kwani huyo mkeo ulimuoa kwenye giza? Au ulimpenda ukiwa umelewa hujitambui!
Jina LA mtandao.................. "0713 mmmmh[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dont swear bn... Co vzur!I swear nilikuwa cjui
Nmecheka kwa xauti mkuu hahahahahahahahNimekuelewa sana mkuu.
Ila hapa umeniacha kidogo fafanua.
"Mens than womens"