Yaani wakati napuruni maua yeye nyumba yao iko juujuu kuliko yetu na akiwa kwake sisi kwetu kunaonekana tuko chini sana!!kwayo kila kitu kinachotendeka ndani ya fance kwetu yeye au wao hua wnaona kwetu!!na wao hata wakiwa nini kama ni jioni taa yao ya ndani aakiiwasha sisi kwetu hua tunawaona hadi ndani!!!Sometimes mambo yanayotsmbua ni more physical than emotional ukiwa bussy na kaz yke ya kuprun maua au kuna maua yko kwenye vioo vyke nn sko serious sna lkn tuongee vi2 vya msing sukari hku kwe2 imeshuka bei vp hko kwenu
Una2mia miwan gan kuona ndan ya Tinted mkuu......?Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana!!
Nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond)msingi wake!!
Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli!!sasa leo wakati niko zangu makatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo!!
Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted!! Hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupuruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha!!
Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa!!ikumbukwe kuwa mme wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini!!vipi wakuu nimfanye ninii
Huyu mama ana makusudi kwa nini kila nikifanya kazi zangu hua na yeye anajifanya anafuta dirisha tena kwa mda mrefu alafu hilo hiloo tuu!!Sasa kosa lake nini? Yeye anaosha Madirisha ya nyumba take na wewe unapruni maua nyumbani kwani. Kila mtu ana uhuru wake nyumbani kwake!
Kama vipi jisavie tu maana madereva wa malori huwa wakaa muda mrefu wakisafiri.Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana, nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond) msingi wake. Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli sasa leo wakati niko zangu nakatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo.
Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted, hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha.
Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa, ikumbukwe kuwa mume wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini.
Vipi wakuu nifanye nini?
EVIL THOUGHTS LEADS TO EVIL DEEDSYaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana, nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond) msingi wake. Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli sasa leo wakati niko zangu nakatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo.
Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted, hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha.
Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa, ikumbukwe kuwa mume wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini.
Vipi wakuu nifanye nini?
Badili ratiba ya kupruni maua. Kama unapruni asubuhi anza kupruni mchana su jioni. Kama ni Jumamosi, sasa fanya jumatano. Ukiona naye anabadili nijulishe nikuambie cha kufanya.Huyu mama ana makusudi kwa nini kila nikifanya kazi zangu hua na yeye anajifanya anafuta dirisha tena kwa mda mrefu alafu hilo hiloo tuu!!