Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,507
Kuumia mguu ni ugonjwa pia,au mnatafsiri VIP ugonjwa..Get well soon Mzee Sita,uje utueleze uliamuaje kuungana na wenzako kuyasigina maoni ya watanzania ktk katiba mpya,Bahati nzuri Hao hao wakakutosa ktk uspika..bado ana muda wa kuwaomba radhi watanzania.