lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,425
- 1,690
kuwa na mume anayekujali, kuheshimu na kukuhudumia na kutunza raha sana. check mtoto alivyo mzuri. Si waume wengine kila kitu hana ....baby naomba hela ya saloon utasikia "sina", ya shopping "sina", ya kupendeza "sina"