Hyo tamaa yako itakupeleka wapi utamaliza mabucha yote nyama ni hyohyo mueshimu mkeo, mpende, usimdharau kweli mtu hajakukosea chochote unakuja kumfungulia thread sio vzr nyie ndo mnasababisha watu wanatoka kwenye ndoa sbbu ya tabia zenu au kama we muslim oa mke wa pili
hahaha hata nyama ikiwa ni ile ile mapishi ni tofauti. Mwingine anajua kuunga kwa nazi, mwingine mchemsho, mwingine anaunguza, n.kNani kakudanganya nyama ni ile ile?
Ushawahi kuwa Mwanaume hata dakika tano ?
wewe mwenyewe hapo mtaani huwa unachagua bucha la kununua nyama ukienda upate nyama unayopenda sio nzuri hata hununui
Nyama ni hyohyo ndo uko mnakowekewa vistic mkomeeNani kakudanganya nyama ni ile ile?
Ushawahi kuwa Mwanaume hata dakika tano ?
wewe mwenyewe hapo mtaani huwa unachagua bucha la kununua nyama ukienda upate nyama unayopenda sio nzuri hata hununui
Hahhahaaa wezi hawaa...na watu wanawaamini SMH
asante mkuu. Zoezi la kuishi kwenye ndoa linahitaji kujitoa maana linakuvurugia tension sana. Mfano tufanye wewe ndo mke wangu, halafu labda moyo wangu unataka niende club na dem mwingine, kwa vyovyote nitashindwa kwakuwa inabidi nikuheshimu wewe mke wangu, sasa hapo si zaidi ya jela? Nikiwa alone wala siwazi naenda tu!Wewe itakuwa haupo ndoani bali upo Jela....na pole kwa hilo.
Maana mtu kama umeoana na beatfriend wako hakuna sababu ya kutokuwa na uhuru hata wa kujamba..... Ulikosea kuoa brotha!
Ndio maana kukawa na maini. figo. utumbo nundu sarara na kidali na vitu vingine.Nyama ni hyohyo ndo uko mnakowekewa vistic mkomee
Umeshaoa kwanini utake kwenda club na mwanamke mwingine?? Huyo mkeo ana tatizo gani??? Au ndo ulimuoa awe 'pambo la nyumba' kama sio 'Chombo cha starehe'......Yaaani nyie viumbe nyiee!!!!asante mkuu. Zoezi la kuishi kwenye ndoa linahitaji kujitoa maana linakuvurugia tension sana. Mfano tufanye wewe ndo mke wangu, halafu labda moyo wangu unataka niende club na dem mwingine, kwa vyovyote nitashindwa kwakuwa inabidi nikuheshimu wewe mke wangu, sasa hapo si zaidi ya jela? Nikiwa alone wala siwazi naenda tu!
sasa jamani nitaenda nae club kila siku? Siku moja moja niende na mwingine c kucheza muziki tu? Sasa hapo ni kosa.Umeshaoa kwanini utake kwenda club na mwanamke mwingine?? Huyo mkeo ana tatizo gani??? Au ndo ulimuoa awe 'pambo la nyumba' kama sio 'Chombo cha starehe'......Yaaani nyie viumbe nyiee!!!!
Hahahahaa dah...sasa jamani nitaenda nae club kila siku? Siku moja moja niende na mwingine c kucheza muziki tu? Sasa hapo ni kosa.