Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,167
- 1,543
Sanaa hataki haraka.utakuwa sio mzima wewe..........
Sanaa hataki haraka.utakuwa sio mzima wewe..........
Mengineyo yapi unayoyapenda kutoka kwa watoto wa kihaya... ?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]msambwanda!! ila jaman nitoe tuu tunu zangu huku nyie watoto wa kike wa kihaya mmejaaaliwa neema za Allah hat are napenda pia tabia yenu ya upole na mengineyo[emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji125]
Haya ngoja tutetemeke basiDomo anawatetemesha......!
Yan vile viuno tuuu mmmhhh huu wimbo wa harusi [emoji7] diamond bana mjanja sana saiv hata uwe harusin unacheza diamond uwe club diamond [emoji41] [emoji41]unantekenyaga ukinyonga salomeee..
big up pltnumz
vitenge vile[emoji7][emoji7][emoji7]
nyimbo ya kitamaduni afu imeboreshwa...
director[emoji7][emoji7][emoji7]
mambo hayaendagi NGE NGE,, huwaga NGANGA NGAAAAAA
Dah, kweli wasafi wamebarikiwa nimesikiliza wimbo wa diamond na rayvanny ni noma sana, Hawa vijana wanajua wimbo umeachiwa hata SAA haujamaliza nimeuelewa sana
[Media]
style yao ya Kong fu panda[emoji12] pamoja na ikwiriri water fall na ukarimu pia.Mengineyo yapi unayoyapenda kutoka kwa watoto wa kihaya... ?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]