Recent content by Mwafrika wa Kike

  1. M

    JamiiForums Tanzania Habari kuu ya mwaka 2008

    No mkulu, Sakata la Masha dhidi ya Mengi ni kubwa mno na kwa vile Masha ameingia mtini baada ya kukumbana na big tyme neg pub opinion, hiyo tu hailifanyi hilo swala kuwa dogo. Masha na mafisadi wenzake walitaka kuziba mdomo wa magazeti mahiri ya Thisday na Kulikoni kwa vile yameendelea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magreth sitta nae kaanza!

    neah, kabla sijafika kwa wananchi wote, ninaanzia pale ambapo tatizo limekubuhu na kuelekea kwenye udonda ndugu (kansa?) ambako ni ccm ya Kikwete, Makamba, Rostam Azizi, Manji, Chenge (tume ya maadili ya ccm?) nk
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magreth sitta nae kaanza!

    CCM wote wameoza kuanzia Kikwete hadi kwa balozi wa nyumba kumikumi. Hii nguvu na kibri ya kutoa rushwa waziwazi wanaipata kwa Kikwete mwenyewe na si kwingine kokote kule.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Habari kuu ya mwaka 2008

    Kubwa ni ile ya Kikwete kumtumia waziri wake fisadi aitwaye Karamagi kusaini mkataba wa madini hotelini, kulikopelekea wabunge wa ccm kumfukuza Zitto bungeni, kupelekea viongozi wa ccm kuzomewa nchi nzima, na kupelekea Kikwete kuunda kamati ya usanii ya madini baada ya kutoa hotuba ya masaa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shule Yafungwa Kwa Kukosa Chakula

    Ukiona serikali inanunua magari ya fahari 700 wakati shule zinakosa vyakula, basi ujue kuwa kuna tatizo somewhere between serikali iliyoko madarakani na wapiga kura walioiweka serikali hiyo madarakani. Na bado kuna mtu anatumia muda mwingi kutaka kujua ni kina nani wanaandika hapa JF badala...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Joseph Mungai

    Kama fisadi Mungai ni mzee wa Totos dogodogo kuku wa kienyeji, ina maana yeye ni nguruwe mwitu?? ......
  7. M

    JamiiForums Tanzania A vote of confidence for Mama Anne-Kilango Malecela

    hii thread imenikumbusha signature ya Mwanakijiji ... Usipowajua adui zako ... utapigana na rafiki zako (nimeparaph so dont sue me mkjj)
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Kama mafisadi wengine waliomtangulia (Manji, Lowassa, Rostam Azizi, etc), Masha ameshindwa kufanya chochote dhidi ya Mengi hata baada ya kutoa vitisho vya siku saba kwa hasira na mikiki mingi. Kwa mara nyingine, dozi kubwa aliyopata hapa JF imemfanya arudi nyuma na kuacha magazeti mahiri ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania The Radar Scandal: Investigation & Progress

    .... whistling .........
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maofisa habari waonywa kwa kuuza siri za serikali

    Kichuguu, Kuna mambo ambayo inabidi kuwa siri (yaani kuna mambo huwa mimi sitaki kuyajua kabisa) ila mambo mengi yanayosemwa au kufanywa na viongozi wa serikali sio siri na hayafai kuwa siri kabisa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hold your comments (angalia usitoe maoni)

    ohhh .... my laaaaawwwwwdddddd ...... Wewe Mkjj unataka balaa...... umekunywa nini leo?!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

    Ngabu....dont worry coz monkeys do the fluting ...... and that speaks louder than big boxer.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

    Masha ananionea wivu mimi na sio the other way around. At the age of 24 ..... ninalipwa mshahara mara kibao zaidi ya mshahara halali wa Masha. Nani anamuonea wivu mwenzake sasa.... hey .. nani ana wivu? Masha akirudisha pesa yote ya kifisadi aliyoipata ..... kwa wizi wa pesa za serikali na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

    Ngabu, Mimi ni mmoja wa wale wanaokubaliana na mengi unayosema hapa.... I am your biggest fan ....... mmmmwwwwaaaa .... mmmmmcccchhhwaaaaa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

    Neah... Hakuna beef ila for a moment ilionekana kama kuna something going on kati ya watu muhimu sana hapa JF.
Back
Top Bottom