A vote of confidence for Mama Anne-Kilango Malecela

Mfuatilieni vizuri huyu mama Anna Abdala, ana historia ya kuwapiga vita sana wanawake wenzake anaowaona kuwa ni tishio. Yeye anapenda u-star, anataka aonekane ndiye mwanamke mahiri pekee nchi nzima. Tena nakumbuka nikiwa bado nipo CCM alikuwa hana mahusiano mazuri na wanawake wote maarufu na wenye uwezo kama akina Mama Mongela, Migiro, n.k. Wakati tukimfanyia kampeni mama Migiro katika kampeni zake za mwanzo kabisa za kuwa mbunge Anna Abdala alikuwa moja ya vikwazo sana katika kampeni zetu. Lakini tulipochunguza kwa makini kwa nini alikuwa anampinga Migiro tukagundua kuwa ni wivu tu ulikuwa unamtesa. She is a problem.

Wanawake kama hawa ndio wanaoharibu reputation ya dada zetu katika mambo ya uongozi na ndio wanaojenga hisia kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. In fact ningekuwa mbunge pale Dodoma ningemrarua vibaya mno kwa wivu wake, yaani nisingem-spare kwa sababu at least huyu kahistoria kake kakuwapiga vita wanawake wenzake ndani na nje ya CCM ninakajua. Huyu hatakiwa kujibiwa na mwanamke mwenzake, inatakiwa mbunge wa kiume anayejua vizuri hii tabia yake amrarue, ndio ingekuwa mwisho wa tabia yake hii angalau publicly. Hata hivyo tunashukuru hili kujitokeza maana limemuanika vizuri sana.
 
Mama Malecela, aaaaaaahhhh mama nilipokuona siku ile kwenye tv unatema cheche za moto kwa kweli nilikuaminia saaaaaaaaana nilibaki najiuliza kwamba kwa kweli hata kama wengine wanasema ni usanii lakini kama tukipata watu kama 20 tu humo mujengo kutoka chama chako, nakwambia nchi itatakasika. Hawa mafisadi hawatakuwa na lao.
leo nilikuwa nikiangalia kipindi cha star tv nikaona yule mbunge wa zamani wa shinyanga alikuwa anaitwa Derefa nadhani akisema kuiba ni sehemu ya uongozi wetu, na kwamba yeye anashangaa kuona serikali inaanika siri zake kiasi kwamba inashambuliwa sana sasa. Nikaabaki nikijiuliza kumbe kuna wabunge wa ccm bado wana ndoto za kuiba na hawataki tujue??? sasa kama bado wako mujengo wenye ndoto kama za huyo Derefa basi wajue kwamba mambo yamebadilika sana. Dunia ya leo haina siri tena. Hata ya usalama wa taifa yajulikana sembuse wizi?
Mama nenda mbele. Pigana. Wasipokurudisha 2010 maana ndiyo vitisho vyao, utarudi kupitia upinzani au Mungu atatupatia watu wa aina yako 50 kati yao ccm wenyewe, wao pasipo kujua.
 
Kitila,

Hapo kwenye bold umegongelea kichwa kwenye msumari ooppsss what?

Wanawake kama hawa ndio wanaoharibu reputation ya dada zetu katika mambo ya uongozi na ndio wanaojenga hisia kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. In fact ningekuwa mbunge pale Dodoma ningemrarua vibaya mno kwa wivu wake, yaani nisingem-spare kwa sababu at least huyu kahistoria kake kakuwapiga vita wanawake wenzake ndani na nje ya CCM ninakajua. Huyu hatakiwa kujibiwa na mwanamke mwenzake, inatakiwa mbunge wa kiume anayejua vizuri hii tabia yake amrarue, ndio ingekuwa mwisho wa tabia yake hii angalau publicly. Hata hivyo tunashukuru hili kujitokeza maana limemuanika vizuri sana.

Nadhani issue ya Anna Abdala hata inazidi wivu wa mwanamke dhidi ya mwanamke, huyu mama ni fisadi to the bones. Jarada lake bado naliongezea data na kwa wakati maalumu nitalimwaga hapa.
 
Mama Malecela, aaaaaaahhhh mama nilipokuona siku ile kwenye tv unatema cheche za moto kwa kweli nilikuaminia saaaaaaaaana nilibaki najiuliza kwamba kwa kweli hata kama wengine wanasema ni usanii lakini kama tukipata watu kama 20 tu humo mujengo kutoka chama chako, nakwambia nchi itatakasika. Hawa mafisadi hawatakuwa na lao.
leo nilikuwa nikiangalia kipindi cha star tv nikaona yule mbunge wa zamani wa shinyanga alikuwa anaitwa Derefa nadhani akisema kuiba ni sehemu ya uongozi wetu, na kwamba yeye anashangaa kuona serikali inaanika siri zake kiasi kwamba inashambuliwa sana sasa. Nikaabaki nikijiuliza kumbe kuna wabunge wa ccm bado wana ndoto za kuiba na hawataki tujue??? sasa kama bado wako mujengo wenye ndoto kama za huyo Derefa basi wajue kwamba mambo yamebadilika sana. Dunia ya leo haina siri tena. Hata ya usalama wa taifa yajulikana sembuse wizi?
Mama nenda mbele. Pigana. Wasipokurudisha 2010 maana ndiyo vitisho vyao, utarudi kupitia upinzani au Mungu atatupatia watu wa aina yako 50 kati yao ccm wenyewe, wao pasipo kujua.

Huyy mwanaderefa ndiye anawakilisha mawazo ya mafisadi huko ccm. Yeye ni kati ya wale ambao wanapitisha vimemo huko maofisini kuzuia wafanyakazi wa serikali wasivujishe miziki hapa JF.

Watu kama hawa wana mawazo kama ya hawa wanaotaka mama Malecela atoke ccm ili mafisadi wabaki wenyewe huko na mambo makubwa yanayofanyika huko yasisemwe bungeni kama vile yanavyosemwa sasa.
 
Well i join the team to give a big up for madame hon Anne if this has been done from her heart! the inside of her heart.politicians words wether spoken softly or strongly can not be taken for granted. in God we trust in everybody we suspect! she fought strongly to succeed madame Anna Mkapa at magogoni but the going was tough for her.she married the old man with a hope to become the first lady! in view of the above facts she has a reason to dare!
 
hii thread imenikumbusha signature ya Mwanakijiji ...

Usipowajua adui zako ... utapigana na rafiki zako (nimeparaph so dont sue me mkjj)
 
Mwk, It is not very clear to me how Serukamba and his gang can demonize Anne Killango in a NEC meeting when this guy Serukamba [Lowassa's protege] is not even a member of NEC.!! He just recently lost in a contest that his master thought he could slot him in!! All in all this mama is doing a courageous job against these fisadis; I shall support her as long as she is consistent!!
 
asante mwawado kwa ufafanuzi kwenye hili!

2000-05 aliingia bungeni baada ya kutoswa na ccm ubungo alipotaka jimbo la ubungo, it was uso kwa uso na aliyekuwa m/kiti wa tume wa jiji charles keenja.

Mkapa akampa ubunge pamoja na makongoro
 
Im mean ANNA not MWK, i still have something back in ma mind thats why we need to watch her steps very closely.

She should keep on moving though...........
MK, maneno haya uliyasema mwaka mmoja na nusu uliopita lakini bado yako kichwani kwangu. Ni maneno yenye uhai.
 
Mfuatilieni vizuri huyu mama Anna Abdala, ana historia ya kuwapiga vita sana wanawake wenzake anaowaona kuwa ni tishio. Yeye anapenda u-star, anataka aonekane ndiye mwanamke mahiri pekee nchi nzima. Tena nakumbuka nikiwa bado nipo CCM alikuwa hana mahusiano mazuri na wanawake wote maarufu na wenye uwezo kama akina Mama Mongela, Migiro, n.k. Wakati tukimfanyia kampeni mama Migiro katika kampeni zake za mwanzo kabisa za kuwa mbunge Anna Abdala alikuwa moja ya vikwazo sana katika kampeni zetu. Lakini tulipochunguza kwa makini kwa nini alikuwa anampinga Migiro tukagundua kuwa ni wivu tu ulikuwa unamtesa. She is a problem.

Wanawake kama hawa ndio wanaoharibu reputation ya dada zetu katika mambo ya uongozi na ndio wanaojenga hisia kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. In fact ningekuwa mbunge pale Dodoma ningemrarua vibaya mno kwa wivu wake, yaani nisingem-spare kwa sababu at least huyu kahistoria kake kakuwapiga vita wanawake wenzake ndani na nje ya CCM ninakajua. Huyu hatakiwa kujibiwa na mwanamke mwenzake, inatakiwa mbunge wa kiume anayejua vizuri hii tabia yake amrarue, ndio ingekuwa mwisho wa tabia yake hii angalau publicly. Hata hivyo tunashukuru hili kujitokeza maana limemuanika vizuri sana.
She is doublestandard. Hebu tujiulize ni nini kimefichika hapa? ANNA ABDALAH badala ya ANNA...??
 
Hii imeletwa kufanya nini hapa wakati huu?
Huyu mama ameshaambiwa kuwa yafaa sasa aeleze umma kama ni kweli alichangiwa na Jeetu 200 milioni kwa ajili ya harusi yake.

Sasa kama wanaweza kufanya harusi ya 200 + milioni huku wananchi wake wakiwa na matatizo lukuki ataweza kuwatetea kweli?
Nimechoka kabisa na huyu mama , leo anaenda Moshi eti anatangaza vita na Ndesa , anapaswa kukumbuka kuwa wa kwanza kuanzisha vita waziwazi na Lowassa alikuwa ni Ndesa wakati wa issue ya ugomvi wa Malima+Manji na Mengi, sasa yeye ajiulize atayaweza haya?
 
- Mkuu Kieleweke kwa kawaida huwa ninakukubali sana na hoja zako za kipinzani, lakini hapa unaenda nje ya mstari wa hoja eti hoja yako hapa ni nini hasa?

- Kwamba kuchangiwa harusi ni makosa? Halafu mbona unasema misfacts kilichosemwa ni kwamba Jeetu aliifadhili harusi yake na hizo hela zilitolewa na Jeetu kwenye kampeni ya urais wa mumewe, eti hapo napo kuna tatizo?

- Halafu naomba kukuuliza nyumba mpya ya Mwenyekiti wa Chadema, aliyohamia hivi karibuni hapa mjini imegharimu hela ngapi? Na nyumba ya Mrema kule Kiraracha imegharimu hela ngapi? Sasa hawa wawili watasaidia vipi wananchi kwa mantiki ya hoja yako iwapo wana mahekalu ya kifahari?

- Mama Kilango kupiga kampeni huko kwa Ndesa, hajavunja sheria, hakuna anayemiliki jimbo Tanzania, lakini tunamkubali Mzee Ndesa kwa sababu anasimamia masilahi ya taifa, otherwise ni haki ya kila mwananchi wa Tanzania kufanya kampeni za siasa popote pale nchini, mkuu jina lako ni kubwa sana humu JF sasa ku-maintain your credibility ni vyema ukaongea na facts with evidence, badala ya bora liende kama tuliowazoea humu!

Respect.

FMEs!
 
She is an iron lady as i will be. I real admire her but sometimes huwa ananiboa hasa baada ya kwenda kupiga kambi kwenye jimbo la mpambanaji mwenzake Ndessa. akapige kambi kwa mafisadi sio kwa wapambanaji hata kama ni wachama kingine.CCM wana majimbo mengi sana kwanini haya machache ya upinzani wanayafuatilia sana.Is Mama Kilango a truely democratic?
 
Hii imeletwa kufanya nini hapa wakati huu?
Huyu mama ameshaambiwa kuwa yafaa sasa aeleze umma kama ni kweli alichangiwa na Jeetu 200 milioni kwa ajili ya harusi yake.

Sasa kama wanaweza kufanya harusi ya 200 + milioni huku wananchi wake wakiwa na matatizo lukuki ataweza kuwatetea kweli?
Nimechoka kabisa na huyu mama , leo anaenda Moshi eti anatangaza vita na Ndesa , anapaswa kukumbuka kuwa wa kwanza kuanzisha vita waziwazi na Lowassa alikuwa ni Ndesa wakati wa issue ya ugomvi wa Malima+Manji na Mengi, sasa yeye ajiulize atayaweza haya?
Naona wewe Mpaka kieleweke unamchokoza kada FMES sasa, maana lazima hapa aseme tuuuuuuuuuuuu.
 
She is an iron lady as i will be. I real admire her but sometimes huwa ananiboa hasa baada ya kwenda kupiga kambi kwenye jimbo la mpambanaji mwenzake Ndessa. akapige kambi kwa mafisadi sio kwa wapambanaji hata kama ni wachama kingine.CCM wana majimbo mengi sana kwanini haya machache ya upinzani wanayafuatilia sana.Is Mama Kilango a truely democratic?
Ni msanii tu kwenye kambi ya wapambanaji wala yeye si mpambanaji katu.
Kwani yeye anapambana na nani huko sisi M? maana hata siku moja sijasikia anamtaja fisadi hata mmoja. Anaishia kupiga kelele tu bungeni kwamba yeye ni mpiganaji kweli?
Msanii tuuuuuuuuuu kama wale ze komedi
 
- Mkuu uko sawa sawa, unajua Tanzania tuna viongozi wasanii wa aina nyingi, ninaweza kukutmia video yake na Lowassa bungeni mpaka Lowassa kulazimiak kujiuzulu labda itathibitisha usanii wake, halafu inachekesha sana wasomi na wachambuzi wa siasa duniani kumlilia mama mmoja tu kila kukicha lazima she is very good kwenye huo usanii wa uongozi, au? Bwa! ha! ha!

- She is doing very fine, saa hivi yupo Same East, ambako anasimamia uwekwaji wa mtambo ya kiwanda kipya na cha kwanza Tanzania cha kusindika Tangawizi, ambacho aliwaahidi wananchi wake wakati wa kampeni za ubunge, what a msanii mkuu huoni kwamba tunahitaji sana wasanii wa namna yake! Bwa! ha! ha!

- Mkuu next time ongea na facts au unaweza kujiunga na magoi goi wengi ambao huongea mradi kuongea tu, no facts no evidence mradi wameongea! Sisi huwa tunasimamia facts na evidence, pamoja na dataz hatujali zinamuhusu nani, facts baby! facts baby!, anyways saa ya kula batamzinga sasa!

Respect.

FMEs!
 
Mama kilango Malecela amekuwa kimnya na mpole sana ,amekuwa na kilio kikubwa zaidi anapotembelea watu waliofiliwa kilio chake kinakuwa kikubwa kuliko hata wafiwa ,sasa hapo ndio unajiuliza hivi nyuma ya kilio chake kuna nini?au kwa sababu tu sofia simba ameanika kwa wananchi uovu waliokuwa wanaufanya ?
 
- Uovu upi huo mkuu weka facts, halafu si tumeambiwa kwamba Sophia ameshakwua served na waraka wa kisheria ili akathibitishe ukweli wake kwenye sheria,

- Au hicho ndio kilio chenyewe unachokisema cha Mama Kilango kumfikisha Sophia kwenye sheria?

es!
 
Dawasco likely to sue Minister Sophia Simba

2009-24-09:11:48

By Njonanje Samwel

1. The Dar es Salaam Water and Sewerage Corporation (Dawasco) has said it will take to court the Minister Sophia Simba, for an alleged illegal water connection into her Kunduchi Bahari Beach residence in Dar es Salaam.

2. This was said by Dawasco Public Relations Manager Badra Masoud yesterday, shortly after workers of the water utility firm had dug out pipes from erring customers as part of an on-going campaign.

3. The digging up of illegally connected water conduits was carried out in the city suburbs of Kawe, Mwenge Mlalakuwa, Kunduchi Beach and Boko, all being served by Kawe and Boko Dawasco offices.

4. According to Masoud, water supply to the minister�s house was first disconnected some few weeks ago, after she had failed to settle outstanding water bills. However, the supply was restored contrary to regulations.

5. She said Dawasco intended to prosecute the minister ``for stealing water and tempering with water utility`s infrastructure.``

6. ``Early this month we (Dawasco) cut off water supplies to the minister`s house. We expected that the minister would turn up to settle the bill, but she instead illegally restored the service.

7. As you can see now, the house is enjoying the service cost free,`` Masoud told journalists at the scene of incident, while showing a re-connected part of the water system.

Early this year, Dawasco embarked on a special operation to penalize customers with outstanding bills by uprooting water distribution pipes.

  • SOURCE: Guardian
 
Back
Top Bottom