Kuna rafiki zangu wana modem kama ya kwangu(airtel ce 1588) ila wanao wanapojiunga wanapata mb 400 kwa tsh 2500.ila mimi napata mb 150 kwa tsh 2500.nisaidieni maujanja kama yapo.
MSIGWA na FIRIKUNJOMBE wapo sahihi.Tunapokea wanafunzi wanaosema wamefaulu ambao hawajui kusoma vizuri.Mwanafunzi aliyefaulu atashindwaje TABLE ya 6,7,8,9 na 12? No reseach no right to speak.Watoto tunaopokea ni Vilaza.Serikali iondoe siasa kwenye Elimu.Angalia matokeo ya Form two mwaka...
Mbona uandikishaji wa vyeti vya uraia hapa DSM tayari? Au uandikishaji unarudiwa?Pia huku Dar zile siku 3 za kusurvey na kujaza Dodoso la jamii hakuna malipo.Ambaye amelipwa atujuze.
Laptop yangu ni aina ya ACER,Jana nilimpelekea rafiki yangu akaniwenikea Program ya IDM,baadaye akafungua hard disk kwenye partion D na kuscan Virus.Nilipofika nyumba ili nianze kufanya kazi zangu ikaandika NTLDR is missing,press any key to start,ukipress inaendelea na maneno yaleyale.Naombeni...
Hata sisi huku DSM Wilaya ya TEMEKE kata za VITUKA ,POLISI waliamua kupiga rizasi ili watu waondoke kituoni baada ya kuchelewa kuleta pesa{ jana ndo ulikuwa mwisho wa semina} jioni saa kumi na moja jioni.Baada ya kugawa kwa watu wachache wa herufi A na B Wakasema hakuna usalama hivyo tutaendelea...
Natumaini wana jf.Kuna e-mail zinatumwa kutoka kwa watu wanaojiita wakimbizi kutoka Nigeria na Ghana wapo Senegal kambini.Wanasema wazazi wao wamekufa kwenye Vita.Wanadai wanahitaji foreiners ili waweze kuhamisha fedha kwenye akauti zao.Ukianza utaratibu huo ,mara unaambiwa zinahitajika UK 200...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.