Natafuta mke kiukweli

Chamchella

Member
Jul 21, 2012
28
1
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43, slimbody, maji ya kunde, nina urefu wa ft5inch7, kiukweli jamani natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 35 na kuendelea.

Yule mwanamke ambaye ana shida kiukweli ya mume na ana nia thabiti anaitaji mume naomba ndie tuwasiliane, kwasababu karibu wengi wa wanawake wa jamii hawako serious wana malengo yao,

Mimi natafuta mke kwa maisha, karibu sana dada. Yule mwanamke mwenye nia thabiti na anaitaji mume kiukweli kwa ajili ya maisha, naomba tuwasiliane kwa email addres hii chamchellah@ovi.com
 
Vipi mtaani kimenuka? Ila kaa kwa tahadhari.............Wife searching at your own risk.

Halafu nikuulize hautaki kupitia process za G/f & B/f, honey switi, uchumba halafu ndoa
 
Nimependa hiyo ya 'ambae anashida kiukweli na mwanaume'. Subiri wanakuja
 
Kweli Chamchella!wengi wa wanawake wa jamii hawana lengo la kutafuta mume wa maisha,wengi wao wanatafuta mwanaume wa kumaliza matatizo yao,mm nakusapoti sana,na utapata yule ambae kweli anataka mume wa maisha sio anaetaka mume wa matatizo yake,poa mkuu!
 
Sasa Chamchella ukikuta huyo mwanamke atakae kutafuta kwa namna hii pale tu unapomwona ukajihis humpendi itakuaje huoni utamsononesha huyo dada, au unataka kuniambia yeyote atakaekua tayari wewe poa tuu? naona bora tafuta huko uliko kama mtaani kwako au kwingineko kote utakua na nafasi nzuri ya kufanya uamuzi wa nani akufaae, ni ushauri wangu tuu!
 
Mke wa ukweli ameshaolewa.... Umri umeenda huo we tafuta mke umri kwani wanawake wengi wa umri huo ambao hawajaolewa ni watalaka, wajane, single mothers etc.
 
Mke wa ukweli ameshaolewa.... Umri umeenda huo we tafuta mke umri kwani wanawake wengi wa umri huo ambao hawajaolewa ni watalaka, wajane, single mothers etc.
mhhh jamani kwani watalaka, wajane, single mothers hawafai kuolewa???? makubwaaaa. mwaya mtafutaji tafuta mwenza utapata niamini mie, wangu nimempata humu humu nampendaje sasa! na nadhani ananipenda pia sana tu.
 
wasifu wa huyomwandani utasaidi nami naweza apply,hebu tupia basi tuone kama viwango vinaelekea.
 
mhhh jamani kwani watalaka, wajane, single mothers hawafai kuolewa???? makubwaaaa. mwaya mtafutaji tafuta mwenza utapata niamini mie, wangu nimempata humu humu nampendaje sasa! na nadhani ananipenda pia sana tu.

wanafaa kuolewa mamii, ila unajua mtu anaposema anatafuta mke wa ukweli baadhi ya wamama tunatafsiri anataka kitu na box
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom