QUALIFIED
JF-Expert Member
- Jun 13, 2012
- 773
- 112
kijana umenofurahisha sana!!
swali kama hilo lazima utumie graphical method ndo peekeyake italeta jibu.
Anza hivi
2^x=2x
=>2^x-2x=0
hapa functionaly itakua hivi
f(x)=2^x-2x
let f(x)=y
utakua
y=2^x-2x
then make table of values kuanzia x=-4,-3,-2,-1,0,1,2,3na4
then chora graph of y=2^x-2x
kumbuka kua y=f(x)=0
then angalia katika graph yako thamani za x wakati y=0
utaona ziko 3 ambazo ni
x=0
x=1
x=2
sasa turudi katika swali ukitest utaona x=0 inakataa so unaipotezea.
but x=1 & x=2 zimekubali so the answers are
X=1 and X=2
natumai umeelewa
sawa ila if x=0,y=1 so haipo