kila mtu akipenda kazi yake kama uyu tutapiga hatua sana tanzania

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,090
Points
2,000

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,090 2,000
61204_4894932053674_590278498_n.jpg

vijana wengi wanapenda kuchagua kazi uku wakiwa hawana kazi,na kuona aibu kufanya kazi kama hizi,wakat wengine zinawaingizia kipato na kuwezesha kujikimu wao na familia zao,pia kufanya kazi kama hizi sio ticket ya mtu kuwa mchafu inatakiwa kila mtu apende kazi yake
 

Forum statistics

Threads 1,392,375
Members 528,604
Posts 34,107,161
Top