Mkuu Pasco, Natamani kupata maoni yako, No reform No election inazidi kuchanja mbuga kwa mtizamo wangu. Idadi kubwa ya watu wanazidi kung'amua kuwa ni rasmi wameporwa haki yao ya kuchagua kiongozi wanayemtaka. Nawaza Je kutakua na Reforms kabla ya uchaguzi? na kama uchaguzi ukifanyika bila...
Mkuu GUSSIE hongera yako, kama unamaanisha uliyoyaandika HONGERA SANA, Mi binafsi nilikua nimeku ignore. Kuna siku nikaona uzi ukiomba radhi nikasemehe. Umenipa fundisho kumbe mtu yeyote anaweza kubadilika. Hongera tena Mkuu.
Siasa chafu kwao ziliweza kuwapa chakula, wanachanganyikiwa kwa sasa Mama sio muumini wa siasa hizo. Ukizoea vya kunyoga vya kuchinja hutaviweza. Mbaya zaidi kichwani ni hamnazo wengi wao wanauwezo mdogo kichwani. Zama zimebadilika hawajui ima wamejitoa ufahamu. Siasa za maono, itikadi, falsafa...
Media ni muhimili muhimu sana katika kuhabarisha, kuelimisha, kuburudisha kwa kuzingatia maadili ya tasnia ya habari. Vyombo vya habari vikiingiwa uwoga kama sasa ni hasara kubwa kwa jamii na taifa kwa ujumla.
Elimu ni moja ya kitu ama jambo ambalo nafiri limefiwakisha hapo walipo, kwa maana watu wengi wamesoma, wanavyuo Vikuu vya kutosha na hivyo kusabisha exposure kubwa kwa wanaichi wao. Utajiri wa mafuta pia umechangia kuzalisha matajiri wengi. Idadi kubwa yao inasaidia kutanua masoko yao biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.