Pamoja na kuwa hii kampeni imeitwa ni ya kipuuzi lakini siku zote ukiweka ardhini mbengu huwa haipotei, huota kumea na kuzaa na kuleta matokeo chanya sana.
Hii kampeni haita pita bure pasina kuleta matokeo tarajiwa , hata kama wameona ni ya kipuuzi ama haina maana ila ujumbe umefika kwingi na umeacha athari kubwa mno.