Tundu Lissu: Tiketi mkononi, ulemavu mwilini, uimara moyoni. Anarejea uwanja wa mapambano kutimiza haja ya moyo wake!

VIP zile ziara za nje ya matibabu, Kwenda kumtukana JPM zitaendelea au kwasasa atazisitisha?
Huu ndiyo upumbavu unaolidhalilisha JF
FB_IMG_1567390872973.jpeg
 
Hongera serikali kwa juhudi kubwa zilizofanywa kurejesha afya ya Tundu Lissu. Juhudi kama hizi zilifanyika miaka 40 iliyopita pale Mwalimu Nyerere alipopambana kuirejesha ardhi ya Tanzania iliyokuwa imetwaliwa na Idd Amin!

Hakika tumempata Nyerere wa pili
 
Umekosea sana kuchanganya picha ya Nyerere na post ya Lissu.
Hawa watu wawili hawaivi.
Hawaivi katika itikadi lakini wanaiva vitu vingi ikiwamo matumizi bora ya akili, uwezo wa kujadili hoja, ufahamu wa entire world affairs na kutoogopa kusema kweli
 
Back
Top Bottom