Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuendelee kufanya maombi timu yetu Arse8 isishuke daraja.
JamiiForums-728055021.jpg
 
tuchel anavizia arsenal yaan kashindwa psg hukunsi ndio balaa hamna tubaki tuu na arteta potelea mbali
 
kama hajashindwa kwann kafukuzwa? na dortmund pia kawahi kufukuzwa..

mim namtaka yule wa leipz yuko smart n sirias
PSG Kashindwa Nini??

Unamtaka Kocha Yupi??Zidane au Klopp?
 
Timu yenu inacheza leo, lakini muko kimya kama mumemwagiwa maji ya baridi vile.
Kweli kufungwa sio kitu kizuri.
 
Leo tukikikosa hiki kibonde chetu jamani tukatambike na tumchague mbana pumbu mpya.
 
Back
Top Bottom