Recent content by MTUSUAJI

  1. MTUSUAJI

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Kaka tumia muda kufatilia juu ya huyu mwandishi wa hicho kitabu anatumika alishafanya hivo zaidi ya Mara mbili kwa kutumia YouTube akarudi kwa tb joshua kuomba msamaha akisema alilipwa afanye hivo na hizo video akiomba msamaha zipo youtube Tb Joshua anamadhaifu kama mwanadamu ila mengi aliyosema...
  2. MTUSUAJI

    Rupia ya Mjerumani: Ni kweli sarafu hii ina thamani kubwa au ni story tu?

    Ndoto za alinacha hizo Kauze kwenye vyuma chakavu hata miatano haizidi
  3. MTUSUAJI

    Nahitaji ufafanuzi mabaharia wenzangu

    Unaandaliwa kuibiwa hapo
  4. MTUSUAJI

    Maua haya ni hatari sana

    Haya nakulaga kama kachumbari hasa nikiwa nimepika pilau
  5. MTUSUAJI

    Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

    We kama muongozo vileee Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MTUSUAJI

    Maisha yangu hapa Johannesburg

    Mkosoaji anapokosea Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MTUSUAJI

    Traffic wa kike mnakera kutochomekea mashati

    Inatusaidia madereva Ku focus mbele na sio kuangalia Yale mamboz
  8. MTUSUAJI

    Hili Jambo llina maana au tafsiri gani?

    Wanatafuta makinikia mkuu we tulia wakipata itapendeza
  9. MTUSUAJI

    Nataka kuimba Muziki wa 'Bongo fleva ' Ushauri

    Kama unataka kupagawisha watu pole maisha yameshatupagawisha nakushauri uende ukachome maindi na hiyo hela ya studio
  10. MTUSUAJI

    Hivi mwanaume unaanzaje kuandika "jomoni"..!??

    Wewe ulieandika naamini ni KE maana siamini kama Mwanaume anaweza andika
  11. MTUSUAJI

    Mkutano wa leo wa CHADEMA kwa waandishi wa habari waacha maswali mengi

    Una akili zinazofanana na jina lako nimekusamehe Bure
  12. MTUSUAJI

    Mch. Msingwa rudi kundini

    Huko unakomuita sio kundini ni ujambazini
  13. MTUSUAJI

    Gigy money aitosa mahali ya milion 5 anataka 10-15

    Ya kwake ina tangawizi mpaka atake m 15?
  14. MTUSUAJI

    Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    Funguo yake umpangie pakuweka?
Back
Top Bottom