Maisha yangu hapa Johannesburg

Maisha yangu hapa Johannesburg

Njia zipi ulitumia kufika huko ni kazi gan unaifanya huko huku bongo haiwezekan?

Unataka kuniambia maisha ya nje ya nchi yako ni mazur kuliko ya nchi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini usiamini hata Zimbabwe itaiacha Tanzania kwa unafuu wa maisha na uhuru. Wapeni muda tu Wazimbambwe. Mfn mdogo tu kuwa huko matokea ya raisi yanawezwa kupingwa mahakamani na yakasikilizwa?

North West
 
South imeendelea ndio but sioni kama ni nchi nzuri kusaka life, hakuna box pia security iko chini
Ni baadhi ya majimbo si kote pia unapotaka kuja SA usije kwa kubahatisha tu.

North West
 
Wakuu habali za huko tanzagiza! Poleni Sana na majukumu ya kuisoma Namba, tangu nilipotia miguu hapa bondeni namshukuru Sana Mungu napambana si mchezo kuhakikisha naludi Bongo kifua mbele, maisha ya hapa ni mazuri Sana japo tangu nifike miezi mitatu sijawai kupata joto la shemeji yenu hiyo Bahati sina,

Mwisho kabsa anaetaka kuja huku aje lakini asimtegemee ndugu ama rafiki aje Kama Mimi asijiunge na makundi ya kijambazi atafte kazi lazima atafanikiwa, wilaya nzima ya kahama Mtoto mzawa nimimi ndo nipo south kalibuni sana.
View attachment 844983View attachment 844984
tunakuja mkuu yaani Bongo Nyoso Bongo Mufilis!
 
Back
Top Bottom