Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,569
- 16,029
Umofia kwenu wadau,
Ninaombi kubwa moja, Mh. Mch. Msigwa popote ulipo, rudi kundini, uchunge wana kondoo, maana ulimi wako unazidi kuwapoteza wengi.
Wewe Mch. Msigwa si yule waliyekufahamu watanzania enzi zile kabla ya 2015, kwani tangu ulipoikaribisha ile zambi iliyo muuza Yesu Kristu, basi umekua muongo muongo.
Yaani wewe Mch. Msigwa hata ile juzi unaongea kwenye ile video ukiwa nchini Kenya mwili wako na nafsi yako ilikuwa inakusuta. Hata baada ya kumpokea yule Mh. sana aliye kupatia ile kitu iliyomuuza bwana wetu Yesu Kristu, ulibadilika, nakumbuka kwenye mahojiano na Mh. Pole Pole, basi ulikuwa unatoa macho utadhani unatafua gololi.
Rudi kundini Mch. Msigwa uchunge kondoo, hamia CCM, njoo tupambane kuikomboa nchi toka mikononi mwa wezi, taifa linakuhitaji, wewe si mtu wa kupewa vikaratasi eti nenda kaongee hiki, wewe unajitambua, rudi kundini Mh. mchungaji Msigwa, utapokelewa na watanzania watakusamehe.