Nataka kuimba Muziki wa 'Bongo fleva ' Ushauri

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
Wanabodi, nina mpango wa kuanza kutunga mashairi ya bongo fleva na hivyo kuwa msanii wa Muziki huu, Lengo ni kuja na 'mashairi ' yatakayo wapagawisha watu wa makundi yote..

Ushauri wenu juu ya mpango wangu huo je ni mpango mzuri au mbaya?
 
Kama unataka kupagawisha watu pole maisha yameshatupagawisha nakushauri uende ukachome maindi na hiyo hela ya studio
 
Wanabodi, nina mpango wa kuanza kutunga mashairi ya bongo fleva na hivyo kuwa msanii wa Muziki huu, Lengo ni kuja na 'mashairi ' yatakayo wapagawisha watu wa makundi yote..

Ushauri wenu juu ya mpango wangu huo je ni mpango mzuri au mbaya?
Ushauri wangu ni kwamba "acha, usiimbe labda uandike mashairi na uyauze"
 
Bora utunge mashairi na uuze tu... Game ya sasa ngumu ila kama una Management bora kabisa....GO ON
 
Wanabodi, nina mpango wa kuanza kutunga mashairi ya bongo fleva na hivyo kuwa msanii wa Muziki huu, Lengo ni kuja na 'mashairi ' yatakayo wapagawisha watu wa makundi yote..

Ushauri wenu juu ya mpango wangu huo je ni mpango mzuri au mbaya?
Anza kuimba kwaya, ukikubalika Go ahead
 
Back
Top Bottom