Haya maua tulikuwa nayo home enzi hizo niko katoto,.kuna siku nikayachuma nivalishe watoto wangu wa mabunda ya mpapai,.jomoniii niliwashwa mikono sisahau,nakumbuka niliiloweka mikono kwenye majibaridi ili ipoe siku nzima....nilikoma,
Mtu unaanzaje kula majani ambayo hujawahi ona mtu anapika? Tumeyajaza kwenye majumba na kuku wanatafuna mbona hawafi? Wadudu je si ndo wangekuwa wa kwanza kufia kwenye mmea mbona wanashamiri?
Sipendi maua yalikuwa yanamtesa sana mtoto wangu akiwa mdogo akipita jirani na maua siku hiyo halali anawashwa, vipele. Mie kwangu huwa sina ht shina moja.
Ningeona wa maana kama ungesema yame-contain sumu gani...? Nani kathibitisha...? Je! Baraza la Mazingira la Taifa mbona halijatoa taarifa angali hayo maua yapo kila mahali..
Ingekuwa threaten kiasi hicho ningeshangaa baraza la mazingira kukaa kimya....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.