Recent content by mtu-roho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya chatgpt, Gemin na meta AI nani anatoa taarifa za kweli?

    Copilot ndio namba moja
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rekodi 3 zilzovunjika jumla TZ.

    1. Mtoto wa Raisi Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti) 2. Nchi tofauti. Tofauti za kitamaduni,kimazingira na kimalezi. Ni ngumu sana "Wazee wa kimila" kukupitisha kwenye "chujio la jadi" lakini jamaa amepenya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Acheni ujinga - nchi ilishakombolewa 9 Dec

    Ndiyo maana ,tuna -; 1. Baba wa Taifa. 2. Rais -amiri jeshi mkuu. 3. Mwenyekiti wa chama. 4. Mifumo kamili ya uendeshaji inayojitegemea (ndani ya nchi) 5.Raia kuwa huru (kujiendesha kibinafsi ili mradi kutokuvunja Sheria za nchi (zilizosimikwa) USHAURi WA BURE. Katafuteni Taifa ambalo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid apewe stahiki zake zikiambatana na usumbufu

    Ni rasmi sasa uongozi wake umehitimika. Maswali muhimu ya msingi 1. Wakati anaingia madarakani alijaza mkataba ? (Ni vyeo vya mkataba ? au ?) 2. Unapoondolewa Kwa mtindo huo (kudhalilishwa na kufukuzwa kwenye cheo chako "cheo cha Walid" nini hatma yake ? MAJIBU Aje kiongozi mbele ya umma...
  5. M

    JamiiForums Tanzania "Zinaa" ni kiumbe hai (living-organism)

    Kinapatikana wapi ? 1. Wakati unapojiandaa kimawazo (me / ke ) hapo unakuwa umeandaa "raw material" malighafi 2. Unapopiga hatua kwenda kwenye miadi -unachakata malighafi. 3.Mnapoanza kushiriki tendo - mnaanza kutengeneza kiumbe 4. Mnapomaliza kuzini -Tayari uumbaji umekamilika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shekh Walid viatu vilimbana sana hadi vikamtoa sugu kwenye ncha za vidole

    Napendekeza apewe cheo Cha juu zaidi (Nakinzana na nyote mnaong'ang'ania arudishwe kwenye cheo chake) Kwa nini ? Utendaji wake kiufanisi utashuka kiwango chini ya wastani (35%) kutokana na misukosuko aliyopitia. PENDEKEZO; 1. Awe shekh wa mikoa (Mashekh wote wa mikoa wawe chini yake) 2...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kichwa Cha familia - kimekatwa na vichwa vya familia.

    Hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa (nyuma ya pazia). 1. Kiongozi angeitwa mapema na wakuu wake baada ya fununu kwa kumsikiliza ili kupata ukweli na maoni yake (kama mkuu wa kaya) 2. kumuita mhanga kumuhoji na kupata ukweli na maoni yake pia. 3. Viongozi kuandaa mpango mkakati wa kulimaliza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Morocco itatinga nusu fainali kombe la dunia-2026

    Dk.45 Morocco 0 0 France Dk. 65 -75 Morocco 0 1 France Dk.90- 93 (nyongeza ) Morocco 1 1 France Penalty Morocco 5 4 France
  9. M

    JamiiForums Tanzania Afrika ijitathmini upya katika SOKA

    Tukiweka utaratibu wetu (Siri ya ndani) Kila kombe la dunia kupeleka timu 2 mpya hakika tutaona maajabu. Hili litawezekana tu kwa kuanzia chumbani ndio tuje sebuleni (vilabu hadi timu za Taifa),mwenye uwezo aruhusiwe kubeba "ndoo" ili kujijenga kwa pamoja (inclusive football) Rejea: 1.Senegal...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zinaa inaua nyota mara 2

    1. Nguvu Yako ya asili kuchukuliwa. 2. Kupewa nguvu ya asili tofauti. Unaposhiriki zinaa Kuna "reaction" hutokea ambapo mtu hufa ghafra na kuzaliwa upya tofauti na yule wa awali. (Utu to unyama) Mtu mpya huyu ametokana na asili mbili tofauti kwa mchanganyiko wa damu. Mnapoachana baada ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 72 tangu Taifa la Tanzania (Tanganyika & Zanzibar) kukombolewa toka kwenye "utumwa

    Ni miaka 72 tangu Taifa la Tanzania (Tanganyika & Zanzibar) kukombolewa toka kwenye "utumwa" a.k.a Ukoloni mkongwe. Kama mna ubavu kweli anzisheni harakati za kulikomboa Taifa kutoka kwenye "ukoloni mamboleo" Anzisheni hayo maandamano kwenye mataifa yaliyo itawala "Afrika mashariki ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 za msingi za muda wote

    1. Chama husika hakina uhusiano wa asili na TANU,chama hiki kilianzishwa 7/7/1954 2. Ukinzani wa malengo.TANU kilipigania uhuru wa Tanganyika,Chao kuleta vurugu na umwagaji wa damu. 3. Wajumbe (viongozi) wao hawana uhusiano wowote (hata wa damu) na wale waliokuwa TANU (waasisi wa Taifa letu)...
Back
Top Bottom