1. PONGEZI.
Napenda kukupongeza Kwa kuwa kioo Cha jamii. (Wazee,vijana na watoto pia)
2. USHAURI.
Wasihi vijana/watoto wajikite zaidi "kuzingatia masomo" kupitia sm badala ya Yale mambo yako (ya kuburudisha moyo na kuondoa stress) 😂😁🤣 !!!
Unaweza kutengeneza kipindi au kuzunguka mashuleni (hasa sek.) na kutoa USHAURI na UNASIHI juu ya athari za mimba za utotoni,matumizi ya madawa ya kulevya,uasherati ,Utoro nk. Kwani Kwa uzoefu wako "umeona na umeshuhudia mengi yaliyofichikana katika mazingira halisi.
Ni hayo tu Kwa Leo,
Da Pippy,NISHUSHE.