Serikali itoe 1/2 fidia - kuzima chuki.

Serikali itoe 1/2 fidia - kuzima chuki.

mtu-roho

Member
Joined
Jun 16, 2026
Posts
13
Reaction score
18
Kosa limeshatokea Kwa watumishi wake kuleta madhara yasiyo tarajiwa.

USHAURI ;
1. Serikali ishiriki kikamilifu katika hatua zote stahiki Kwa kutoa ushirikiano Kwa wazazi.
Ingawa serikali Haina kosa kabisa ( haijathibitika kosa ni la wahanga au watumishi wake)

2. Hekima,busara na uvumilvu miongoni mwa raia na vyombo vya ulinzi uwekwe sawa Kwa mstakabali wa siku za mbeleni.

NAIPENDA TANZANIA,tuipende nchi yetu !
 
Unasema serikali haina kosa kabisa lakini hapo hapo unataka itoe ushirikiano kikamilifu. Double standards za nini?
 
Back
Top Bottom