Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,501
- 38,125
R.I.P
Kijana kunywa konyagi akili akikue Sawa kidogo.Waja naomba mnishauri kuhusu huyu singo maza
Kuna singo maza nimepiga sound akajaa kwenye mfumo ni kibinti kina 23 tu
Afu kananiambia nikaoe nikaweke ndani
Shida anamtoto miaka 2 tu afu bado wanawasiliana na baba wa mtoto nikikaoa kataniletea shida maana nikarembo kafundi cherehani afu kana mzigo wa haja na mimi sio mtu wa kukaa sana wahuni hawatanigongea kweli?
Watu wakorofi saana,View attachment 3662781
Oa mkuu JAPO hii ni CHAI , unatafta comment
Kumbe unafatisha Akili za JF 🤣🤣🤣Tatizo naogopa nimesoma nyuzi nyingi sana za masingo maza daah
Waja naomba mnishauri kuhusu huyu singo maza
Kuna singo maza nimepiga sound akajaa kwenye mfumo ni kibinti kina 23 tu
Afu kananiambia nikaoe nikaweke ndani
Shida anamtoto miaka 2 tu afu bado wanawasiliana na baba wa mtoto nikikaoa kataniletea shida maana nikarembo kafundi cherehani afu kana mzigo wa haja na mimi sio mtu wa kukaa sana wahuni hawatanigongea kweli?
Long time ago hahahaKwa mafuta ya ndege tegemea BP
Kwa oil za magari tegemea BP
Kwa petrol ya gari tegemea BP
Kwa grisi ya mtambo tegemea BP