Acheni ujinga - nchi ilishakombolewa 9 Dec

Acheni ujinga - nchi ilishakombolewa 9 Dec

mtu-roho

Member
Joined
Jun 16, 2026
Posts
13
Reaction score
18
Ndiyo maana ,tuna -;

1. Baba wa Taifa.
2. Rais -amiri jeshi mkuu.
3. Mwenyekiti wa chama.
4. Mifumo kamili ya uendeshaji inayojitegemea (ndani ya nchi)
5.Raia kuwa huru (kujiendesha kibinafsi ili mradi kutokuvunja Sheria za nchi (zilizosimikwa)

USHAURi WA BURE.

Katafuteni Taifa ambalo halijakombolewa huko duniani mkalikomboe muwe "baba husika wa ukombozi "

"Sisi Huku tulishatolewa Toka minyororo ya utumwa."

Naombeni mtuache,"MWANAMKE AKIKUACHA ,ACHIKA"
Dume Zima akili kisoda ndiyo maana mkikataliwa mnakbilia kujinyonga badala ya kutafuta pisi yingine Kali usuuze roho.

"ACHWA,ACHIKA"
 
Back
Top Bottom