Sheikh Walid apewe stahiki zake zikiambatana na usumbufu

mtu-roho

Member
Joined
Jun 16, 2026
Posts
16
Reaction score
21
Ni rasmi sasa uongozi wake umehitimika.

Maswali muhimu ya msingi

1. Wakati anaingia madarakani alijaza mkataba ? (Ni vyeo vya mkataba ? au ?)

2. Unapoondolewa Kwa mtindo huo (kudhalilishwa na kufukuzwa kwenye cheo chako "cheo cha Walid" nini hatma yake ?

MAJIBU

Aje kiongozi mbele ya umma atoe ufafanuzi "HR" kama yupo kwenye kitengo.
Unaingiaje na unatokaje kwenye cheo cha Walid !?

NILIYOYAONA KWENYE MAKABIDHIANO (kasoro) kwenye picha mjongeo.

1. Hakuna mwongozo rasmi rasmi hadi shekh Walid (MUNGU akulipe Kwa busara na hekima) kuruhusu makabidhiano Kwa namna yeyote ifaayo.

2. Hakuna nyaraka maalum za makabidhiano kiofisi za kuweka Saini.

Suala lilienda kienyeji sana.

Kwa sasa cheo cha shekh wa mkoa wa Dar es salaam kinaitwa "cheo cha shekh Walid" 🤣😁😂 !!

Kwa hivyo watakaoteuliwa wote kuanzia sasa Dar tutasema ameteuliwa cheo cha shekh Walid au ametenguliwa cheo cha shekh Walid 😁 !

Soma pia Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi
 
Ni rasmi sasa uongozi wake umehitimika.

Maswali muhimu ya msingi

1. Wakati anaingia madarakani alijaza mkataba ? (Ni vyeo vya mkataba ? au ?)

2. Unapoondolewa Kwa mtindo huo (kudhalilishwa na kufukuzwa kwenye cheo chako "cheo cha Walid" nini hatma yake ?

MAJIBU

Aje kiongozi mbele ya umma atoe ufafanuzi "HR" kama yupo kwenye kitengo.
Unaingiaje na unatokaje kwenye cheo cha Walid !?

NILIYOYAONA KWENYE MAKABIDHIANO (kasoro) kwenye picha mjongeo.

1. Hakuna mwongozo rasmi rasmi hadi shekh Walid (MUNGU akulipe Kwa busara na hekima) kuruhusu makabidhiano Kwa namna yeyote ifaayo.

2. Hakuna nyaraka maalum za makabidhiano kiofisi za kuweka Saini.

Suala lilienda kienyeji sana.

Kwa sasa cheo cha shekh wa mkoa wa dar es salaam kinaitwa "cheo cha shekh Walid" 🤣😁😂 !!

Kwa hivyo watakaoteuliwa wote kuanzia sasa Dar tutasema ameteuliwa cheo cha shekh Walid au ametenguliwa cheo cha shekh Walid 😁 !
Acheni kuchochea yasio wahusu kila taasisi ina taratibu zake na kanuni zao, shkh mkuu wa mkoa tuhuma kama hizo za uzinzi tu zinatosha kujiuzuru, ila kuna wapumbavu wanao msapati ile kushabikia na kudhalilisha uislamu
 
Back
Top Bottom