Hawa tuaowaita Wanyarwanda wamezaliwa na kusoma Tanzania kama kabila la Wahangaza au wazazi wao walikuwa wakimbizi na baadaye wakaomba uraia ili hali waendelee kuzaa watoto wa Kitanzania wenye asili ya Rwanda.
Kwa sababu kabila hili wamejaliwa ujasiri na akili nyingi, mara kwa mara wamekuwa...
Kirefu cha USA ni UNITED STATES OF AMERICA.
Hizi states zilizoungana zina Rais moja tu na ukubwa wake unakaribia ukubwa wa Afrika nzima.
State moja ya America ni kubwa kuliko inchi zote za Africa Mashariki.
Kwa hiyo kama dhana ya inchi moja kuimeza inchi nyingine katika muungano bado ipo kwa...
Tanzania ni wachanga sana katika mambo ya Inchi moja kuungana na Inchi ingine na inchi moja kati ya hizo ikakubali kupoteza jina lake kwa sababu tu ya ukubwa wake. Naturally samaki mkubwa anammeza samaki mdogo lakini kwa muungano huu kati ya Zanzibar na Tanganyika samaki mdogo kammeza samaki...
Vita haina macho.
Tukiingia kwenye vita tutapigania inchi yetu sote bila kujali itikadi ya chama.
Hadi leo Tanzania tunaugua kiuchumi baada ya vita vya Tanzania na Uganda.
Hatuna sababu ya kushabikia vita kati ya Rwanda na Tanzania na kuongeza maradhi mengine ya kiuchumi.
Baadhi ya mataifa ya...
Kwa hili hakuna udini ila ni chuki za mtoto wa mama mkubwa na mama mdogo ambazo waislamu hawajastafautashi kati ya dini na hii chuki.
Isaka ni mtoto wa mama mkubwa na Ismaeli ni mtoto wa mama mdogo.
Isaka ni uzao wa kikisto na ismael ni uzao wa kiislamu lakini wote ni watoto wa baba moja ila...
Hakuna la udini hapa.
hizi dini za uislamu na ukristo zinatokanano na na mtoto wa wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo, sisi kwa kutokujua tumeingia kwenye ushabiki huu.
Dini ya ya kiisalamu ina amri kumi kama ilivyo idini ya kikisto.
Amrii ilikuwa mpya ni kwa wakristo ni kuwa mmpendane ninyi...
Ukifuata mila na desturi mtu haoi mwanamke kwa kuzingatia kabila, dini au uzuri wa sura.
Wazee wetu wanatushauri tuchague mke kutoka kwenye boma ambalo lina tabia njema, siyo wavivu, wezi na wenye magonjwa ya kurithi.
Rudisha hiyo juice kwa mtengenezaji ili aweze kuthibitisha kuwa imetoka kiwandani kwake.
Watu wengine wanaweza kutengeneza bidhaa fake kwa jina la kampuni nyingine.
Hulka haina dawa. Chunguza ukoo wao ukoje ili uweze kujua kama amerithi toka kwa wazazi wake.
Pili jaribu kumfanya awe mcha Mungu.
Tatu wewe jipime mwenyewe pengine haridhiki na wewe au ana bwana mwingine ambaye mapenzi yake yako kule,
Dr Kitima mkuu wa chuo cha SAUT alisema kuwa tatizo si baraza la mawaziri kujiuzuru bali ni mfumo ulioko. Hata ukichagua baraza la watakatifu bila kubadili mfumo ulioko na tabia ya watumishi wa Serikali ubadilifu wa mali za umma utabaki palepale.
Design a system and a system will work for you...
Kulala na mke wa mtu chumba kimoja ni kinyume na maadali. Mume wa mke akiwakuta ni fumanizi moja kwa moja. Hii mnayofanya ni fedheha. Huwezi kuvunja heshima ya ndoa kwa ajili ya pesa.
Mimi nahisi unayotueleza ni hadithi ya kufikirika na si kwenye.
Lulu ana mwili mdogo sana ukilinganisha na Kanumba. Je alitumia nguvu gani kuweza kumsukuma Kanumba hadi aanguke?
Kwa sababu walikuwa wawili chumbani basi mtu pekee ambaye anaweza kusema kilichompata Kanumba ni Lulu mwenyewe hata kama kitakuwa cha uongo na hakutakuwa na mtu wa kuthibitisha kuwa...
Miimi nadhani wewe great thinker umri wako ni sawa na mjukuu wa Sitta. Hutakiwi kabisa kumtusi mtu mzima hata kama kweli ulimi uliteleza. Mungu anakataza na nadhani hata wazazi wako kama wanamaadili mema wangekukataza.
Dr Mwakyembe si mjinga na atakuwa amemwambia rafiki yake Sitta undani wa...
Kuna faida nyingi sana unapokuwa na chama cha upinzani ambacho ni imara.
1. Chama tawala na serikali yake vinaacha kuwa legelege.
2. Maslahi ya inchi yanalindwa na serikali iliyoko madarakani kwa kuogopa kuumbuliwa na chama cha upinazi.
3. Demokrasia inakuwa kwa maslahi ya inchi.
4.Ufisadi...
Gharama za kutunza au kuwa na gari.1. Ununuzi (capital tied up)2.Bima3. motor vehicle licence4. service ya kila mara5. Ununuzi wa matairi6. ununuzi wa vipuri7. mafuta ya gari8. gharama za maegesho9. n.kJe wewe unamsaidiaje mwenzako katika gharama hizi?Ungekuwa muungwana unajaza hata mafuta ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.