Mke wangu hana nidhamu?

Mke wangu hana nidhamu?

Mpelekee ww siku moja, mkaribishe kuoga kwa kupiga magoti, ndo atajua anapaswa kufanya ivo.
 
kaka, kwanza nakupa pole kwa ndoa uliyo nayo. asikudanganye mtu, wanaume wooooooooooooooooooooooote wa Afrika, wanapenda kubembelezwa! sO UNAKOSA kitu muhimu sana. Ila jifunze tu kujua kuwa kwenye mahusiano ya ndoa, huwezi kupata kila kitu, kuna mwenzio anabembelezwa but mke wake anacheat. so mshukuru Mungu, kwa ajili ya huyo mke uliye naye, na kubali kuwa wewe kubembelezwa umushakukosa!polepole, you will learn to accept. bora hata anakuwekea na kukuita japo impolitely!
 
dah! ngoja tu nitumie sehem ndogo ya hekima yangu manake ningegeuza side B pasingetosha.

jibu jepesi ni kwamba mkeo hajazoea hayo unayoyataka kufanyiwa, hivyo kumlazimisha inakuwa kero kwake. nakushauri kama unapenda hayo uliyoyasema basi mwonyeshe mfano siku moja chukua maji tia wenye ndoo mwambie mke wangu mpenzi karibu tukaoge, najua atakwenda kuoga lazima mkisha maliza una mwambia basi mwenzio ukinifanyia hivi nitafurahije?? napenda kubembelezwa mm na kutamkiwa maneno ya ukarimu namna hii. siku hiyo hiyo ataanza kukuambia.

alternatively weka maji ya shower bafuni kwako, hutohitaj kuwekewa maji ni kiasi cha wewe kuingia na kufungua bomba tu.

Kwa haya madeko ya mleta mada hata akiweka shower bado atahitaji kuskia "sweeery karibu uoge nshafungua bomba"....labda nimuulize wakati wa uchumba wenu hayo yalikuwepo kama jibu ni ndio bas ni rahisi kumbadilisha kama hayakuwepo ulisahau "kumkunja samaki angali mbichi"na kumwambia afanye hayo mavitu sasahiv naona ni kero tu kwake cha msingi we sahau kama hivyo vitu vina exist
 
ha ha ha ha amu..wanaume wengne hupenda kutritiwa kifalme kweli...
wanaume bwana mnaboajeeee
utajijuuuu and u wil keri uaself we huwezi kuweka??kama ameshindwa kukwambia jiambie mwenyewe kimoyomoyo
 
Last edited by a moderator:
Kama ishu ni maji ya kuoga tu, si uweke mabomba bafuni?

Na akikucheat si utamla alive?

Culture, culture, culture!

Usilaumu culture ilhali huyo mkewe naye ni wa culture hii hii...angekuwa mzungu u'd have a point.!!!
 
So unadhani mhaya na msukuma wanafanana kiutamaduni? Ukizingati wanashare ziwa victoria?

I know I know...but kuna a common culture between African traditions my dear...utabisha lakini ukweli upo pale pale.

And i don't mean it just for the women to do...hata mke ana sehemu anatakiwa kubembelezwa!
 
Shukuru mungu kwamba hata anakumbuka kukuandalia hayo maji.wengi wanatamani huduma kama hiyo hawaipati.Hata kama akikuita"OYAAH, MSOSI TAYARI" thamini hata muda wake alioutumia kukupikia chakula.wengine wanazama kitchen wenyewe, kwa kuwa wife yuko busy na Laptop yake
kaka, kwanza nakupa pole kwa ndoa uliyo nayo. asikudanganye mtu, wanaume wooooooooooooooooooooooote wa Afrika, wanapenda kubembelezwa! sO UNAKOSA kitu muhimu sana. Ila jifunze tu kujua kuwa kwenye mahusiano ya ndoa, huwezi kupata kila kitu, kuna mwenzio anabembelezwa but mke wake anacheat. so mshukuru Mungu, kwa ajili ya huyo mke uliye naye, na kubali kuwa wewe kubembelezwa umushakukosa!polepole, you will learn to accept. bora hata anakuwekea na kukuita japo impolitely!
 
Bora Kamusi umetoa ushuhuda. Mwenye macho haambiwi soma.

Ushauri wangu ni mwanamke kuwa jinsi ulivyo; anayetaka kupigiwa magoti ajue wewe si type yake.

Haya mambo si heshima wala nini ni mazoea. Kama mimi sijawahi ona baba yangu akipigiwa magoti na mama don't expect it from me....na nikikupigia magoti basi jua na pretend na nitaaacha soon.

Ndoa hailindwi na magoti ni compatibility.

Mtakuwa watumwa kwa ku pretend badala ya ku enjoy life. Maisha yenyewe mafupi....nani wa ku pretend au kutumikishwa.

Na tunadunda na hamna dalili ya kuachwa wala kuachika.

mimi nipo kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 10 na mpaka leo nikiweka chakula namkaribisha mume wangu "karibu mpenzi chakula" bafuni kwangu kuna maji siku zote tunaoga pamoja na several times ninamuogesha, namsugua miguu, namkata kucha, namchana nywele, nampasia nguo zake,,hata perfume ni mimi nampulizia...sio mara moja nampelekea chakula ofisini"lunch box" kwa surprise....naingia jikoni several times namuandalia vitu spesho hasa week ends ninapokuwa siendi ofisini... lkn bado alinicheat ...nyie wanaume bana hata mbebwe mgongoni na mbeleko hamriziki......
 
Hulka haina dawa. Chunguza ukoo wao ukoje ili uweze kujua kama amerithi toka kwa wazazi wake.
Pili jaribu kumfanya awe mcha Mungu.
Tatu wewe jipime mwenyewe pengine haridhiki na wewe au ana bwana mwingine ambaye mapenzi yake yako kule,
 
Kweli hana nidhamu mrudishe kwao akafundwe upya

nimeoa mtu wa manyara....mbulu, mbona dada zake wanaonekana wana heshima? hata kama hayupo wao wakinitengea maji bafuni utasikia wanasema..''shem kaibu maji bafuni'' lakini yeye mwenye mali utasikia anafyatuka ''nyanyuka ukaoge wengine wanataka kuoga utawachelewesha'' basi mi namwangalia simumalizi!
 
Mbona sisi tumeoa huko kaskazini na tunafanyiwa ya mahaba bwana? Ni huyo mwanamke tu. Kaa naye,mpe elimu kidogo. Mwambie,mke wangu nakupenda sana lakini katabia ka kutonyenyekea kanani hasira sana. Jirekebishe,nami nitakupenda zaidi halafu mwangalie anafanyaje?
asante kwa ushauri tatizo nikimwambia ivo anasema labda nimemchoka ili hali hata zamani hajawahi kunikaribisha...
 
hivi kumbe eeeeh!
Hulka haina dawa. Chunguza ukoo wao ukoje ili uweze kujua kama amerithi toka kwa wazazi wake.
Pili jaribu kumfanya awe mcha Mungu.
Tatu wewe jipime mwenyewe pengine haridhiki na wewe au ana bwana mwingine ambaye mapenzi yake yako kule,
 
Bora Kamusi umetoa ushuhuda. Mwenye macho haambiwi soma.

Ushauri wangu ni mwanamke kuwa jinsi ulivyo; anayetaka kupigiwa magoti ajue wewe si type yake.

Haya mambo si heshima wala nini ni mazoea. Kama mimi sijawahi ona baba yangu akipigiwa magoti na mama don't expect it from me....na nikikupigia magoti basi jua na pretend na nitaaacha soon.

Ndoa hailindwi na magoti ni compatibility.

Mtakuwa watumwa kwa ku pretend badala ya ku enjoy life. Maisha yenyewe mafupi....nani wa ku pretend au kutumikishwa.

Na tunadunda na hamna dalili ya kuachwa wala kuachika.

kinachoumaga ni kwamba.,,yaani umetoka kazini,yeye umemkuta amesharudi...yuko sebuleni busy na iPAD(facebook etc),simu na DSTV..hata kukuangalia hakuangalii...unajipitia zako unakwenda kujichemshia maji unakoga...hata habari hana! halafu asubuhi anakuomba hela ya mafuta na matumizi yake mengine bila aibu! kha! mnamauzi nyie!!matatizo ya nyumba ndogo mnayataka wenyewe....mimi nilisha surrender muda mrefu nyuma!....
 
Mwanaume kama hufanyiwi haya ufikapo nyumbani kwa mkeo akiwa nyumbani wewe umeoa mwanaume mwenzio.mwanamke mzuri anamjali mumewe hata kuliko na watoto ,unakuwa na muda wakushow love kwa watoto na muda wa kwa baba,ni lazima familia ijue na ijenge mazingira kuwa sasa mama anamhudumia baba sie tukae pembeni!!!
1.upokelewe bag nakukaribishwa ndani kwa tabasamu zuri haijalishi mmeshuka wote hapo kwenye gari!kutoka job
2.aache shughukli zote akupeleke chumbani nakukuuliza habari za utokako/kazi/umeshindaje
3.na wakati anakuuliza taratiibu anakuvua viatu,soksi, na nguo unabaki na nguo ya ndani
4.anakupa kinywaji baridi alichokiandaa maji/juice au chiochote
5.wakati unakunywa yeye anakuwekea maji ya kuoga kama unavopendelea moto/baridi
6.karibu mume wangu uoge au unataka nikuogeshe leo??
7......maandalizi ya chakula na mengineyo wewe rudi sasa kaendelee na watoto kwa kumuaga.
hivi ukipokelewa hivyo kweli utawaza ngoja nivae bukta nikapige kimoja kwa wahaya ndio nije kula kweli??Hata kama akiamua kukuchit wewe umeshatimiza wajibu wako!!binadamu tuna mapungufu sana
mimi mume wangu anapennda akiwa nyumbani niwepo maana nisipokuwepo anamis mambo mengi maana anajua nikiingia nikitoka namtokea na nazi kipande tafuna baba,dafu,kachai katamu nusu kikombe ,kajuice ,kamaji kabla hata hajaomba.na vitu vingine vingi tu vizuri vya upendo haya mapenzi ni kwenda nayo kma mtoto.mume ajaliwe kama mtoto,na mume umjali mkeo,sio unakuja kulalama hapa je!ulishamkaribisha mkeo maji,umemfanyia mangapi ya upendo kiasi nafsi yake imsute??? jirekebishe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom