Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Huyo itakuwa hajitambui kuwa kaoa,,,, namsihi afunguke ubongo. kwani sikutanii, huyo demu anakupimia hata ukiwa mbishi kivipi, ni siku utastukia tu mpini uko ndani ya kitu. we mwenyewe utakapozinduka usingizini utashindwa kushangaa chuma kimeingia aje kwenye chuma kingine, usipimie hapo kaka

Kumbuka majaribu hayajaribiwi ili ushinde ila inatakiwa kushinda majaribu, hapo hauushindi majaribu ila unajaribu kushinda majaribu" kazi kwako kalubandika.
 
Kaka hapo unataka kuhalalisha uzinzi kwenye ndoa yako coz naona unataka utumie sababu ya uvumilivu umekushinda ili ufanye utakalo.
Mimi nakushauri usikubali kukaa nae chumba kimoja hata kama ni double. kwa ulivosema naona kuna dalili zote za huyo mwanamke kukutaka kimahaba. Mwanamke yeyote hawezi kuvua nguo mbele ya mtu ambae si mpenzi wake unless yuko ktk mawindo yake, hapo wewe ndo unawindwa........ Ila nisiwe mchoyo wa fadhila Nakupongeza sana kwa kupitisha usiku mzima bila kudo wakati ulikuwa umekumbatiwa na mwanamke tena ambaye si mke wako (si unajua mambo ya mali mpya) mie sidhani km ningeweza coz ile hali ya mwanamke kuvua nguo mbele yangu na kulala na mimi kitanda kimoja ni shoti kubwa sana ndo mana nimekuambia msikae chumba kimoja bro... watch out ndugu yangu
 
As long as huwezi kushare hii humour with ur wife, u ar completely out! I bet hukuweza hata kumpigia mkeo usiku huo!
Ngoja utavuna anachokipanda huyo dada. Kama amepanda bhange inakula kwako now now. Leo ukitoka nunua condom yako uweke kwenye bedside. Ili ukizidiwa na tamaa uiokoe nafsi yako.

we....mwambie asinunue moja!anunue hata pakti tatu hivi maana huwezi jua bana,'kazi' mpya hiyo na pia siku nne zilizo baki ni nyingi!(ujue akishakosea mara moja ndo nitolee hiyo....atapiga mpaka anaondoka huko).
 
Njenje we njenje
Njenje leo njeenje
Njenje we njenje
Na kipara moto njenjeee............:nod:
 
mwambie mkeo na yeye amwambie mumewe mjue kama mfanyacho ni chema mkuu!
ukiambiwa na mkeo umefanya vyema basi uendelee tu kulala siku zote 4 zilizobaki!


Mkuu kati ya maoni yote niliyosoma, hili lako nimelikubali.
Kama kweli nia yao ni kusave wawapigie wenzi wao tena wakati wa usiku na waweke simu zao loud speaker, halafu wawaeleze hayo waliyofanya hiyo "ku-save" na kama wenza wao wakiridhia basi waendelee.

Pili huyo jamaa anatuzuga hapa, ye aseme siku ya kwanza ni uoga tu ulimshika, lakini amini nakwambia usiku huo wa pili hautapiata/haukupita kabla jamaa hajamla/kumla huyo dada...

Alianza kwa kumkumbatia usiku kucha kama wife wake, usiku wa pili lazima atauchomeka/aliuchomeka tu...

Ni hayo...
 
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati tunajadiliana jinsi ya kufanya yule sister akasema, Kwa nini tusichukue chumba kimoja tukashare ili tusave hizi pesa? Nilijua ananitania lakini akasisitisha kwamba yupo serious.

Tukachukua chumba kimoja chenye kitanda kimoja tukazama ndani.Ile kuingia tu ndani yule sister akasema anataka kuoga sababu ya uchovu wa safari akjifunga taulo kavua nguo kazama bafuni.Picha nyingi sana zikanijia ifikapo usiku itakuwaje? Sababu yeye ni mke wa mtu na mimi nina mke home.

Nikajiapisha sintofanya chochote na huyu sister kwanza tunaeshimiana sana. Nmimi nikaenda kuoga baada ya yeye kutoka nilivyorudi nikakuta ashavaa nguo. Story story kidogo tukashuka chini tukaenda pata dinner mpaka kwenye saa 5 usiku tukarudi room.
Kufika tu yule sister kavua nguo zake hii sasa alivua mbele yangu akapiga night dressing kajitupa bed.

Na mimi nikajipa moyo nikavua nikapiga bukta nikazama bed.Tukapiga story mbili tatu huku tukiwa tumejifunikia shuka moja.
Mara usingizi ukanipitia kushtuka nimemkumbatia ile mbaya nikijua ni wife home kuchek na yeye kanikumbatia na kaweka mguu juu yangu.Ki ukweli hali ilikuwa ngumu sana mpaka mapigo ya moyo yalibadilika.

Ki ukweli usingizi ulikata nikawa nimemkumabatia mpaka asubuh. Palipokucha yaani yule sister hana time akazama zake bafuni katoka kapiga suti yake na mimi nikazama bafuni kutoka tukaelekea kwenye hotel inapofanylika semina.

Jamani hii ndio siku ya kwanza kweli niatweza maliza siku tano bila kuingiza ndoa yangu matatani kwa style hii kweli.
Ila nimeapa kutofanya chochote na huyu sister.
Ee mungu nipe ujasiri.
nadhani shida yako ni kuwa hauna nguvu za kiume au kama zipo ni hafifu sana. kama ni mimi ni nge mgurumisha kama trailer
 
Kwanza wewe ni dini gani? Kama ulivyoshtuka ukakuta mmekumbatiana na kuwekeana miguu, tena ukawa unadhani ni Mama watoto wako, hivi huoni umeshazini tayari? Ndio maana mwenzio haoni tatizo, yeye ni mhuni na wewe ni mzinzi.

Imeandikwa kuwa "Usizini", lakini kila amtazamaye mwanamke na kumtamani ameshakwisha zini naye moyoni! Hivi hujawahi kulisikia hili fundisho ?

Pambaf!
 
Nakushauri ule tu kwani usipokula hatakuheshimu, mkirudi kazini jitahidi kumkwepa tu, mbona huku sisi twla mara moja bila ya kurudia.
 
Umekwisha ndugu yangu! Mi iliwahi kunitokea, nikaishia kula mzigo na bill ya chumba nikalipa mimi yeye aka save hela zake na tulivyorudi bongo akapiga sura ya kazi utadhani sio yeye. Sikuamini pale nilipojaribu kuomba mechi ya home ground nikatolewa nje na matusi juu!

Utakuwa hukumkuna vizuri wewe!!
 
Kuna viru vya kujaribu, vingine wala huwezi fikiria kuvifanya kama umeshakuwa mtu mzima.

Swali rahisi tu kujua kama ni sawa au si sawa, Wenzi wao walio huku wanajua hilo?

Ni kweli kabisa Kongosho...mtu mzima na anayejua anafanya nini, hawezi thubutu kijaribu kitu kisichojaribiwa. Nikifanya kitu cha aina hii lazima ntakuwa mgonjwa wa akili...
 
Fisi na bucha, teh teh teh teh!Kwenye wawili wa jinsia mbili tofauti peke yao chumbani, watatu wao ni Shetani!!! We unajua kazi ya shetani sina haja ya kukufanulia.Don't follow Satan's foot steps. U've just followed the first step, booking the same room, and sleeping on the same bed, third, it will be Aagh! aagh!.Stop it!!!!!
 
Kulala na mke wa mtu chumba kimoja ni kinyume na maadali. Mume wa mke akiwakuta ni fumanizi moja kwa moja. Hii mnayofanya ni fedheha. Huwezi kuvunja heshima ya ndoa kwa ajili ya pesa.
Mimi nahisi unayotueleza ni hadithi ya kufikirika na si kwenye.
 
Ila huyu jamaa anaweza kuleta tafrani kwenye ndoa za watu (hata kama ni hadithi ya kutunga tu!). Imagine mwanaume/mwanamke ambaye mkewe/mumewe kaenda semina ya siku tano mahali......halafu anapita hapa JF na kusoma masimulizi haya! Naamini kwa stori hii kuna watu kadhaa wameshapiga simu ku confirm wenza wao wamelala wapi/na nani!?:smile-big::smile-big:

fisadistans are soooooooo advanced in cheating my dear! hawatakamatwa ng'o! kaka kama vipi maliza tu! ila usisahau kuvaa gamba ni muhimu!
 
Kulala na mke wa mtu chumba kimoja ni kinyume na maadali. Mume wa mke akiwakuta ni fumanizi moja kwa moja. Hii mnayofanya ni fedheha. Huwezi kuvunja heshima ya ndoa kwa ajili ya pesa.
Mimi nahisi unayotueleza ni hadithi ya kufikirika na si kwenye.


we nawe ni w karne gani? mbona haya mambo ni ya kawaida sana! hapo ulipo ukute mwenza wako watu washagonga saaaaana tu! ni kuacha tu, na kukaa kimya. kifo cha sk chenyewe ni fedheha kwa uchakachuaji uliofanyika, itakuwa watu kushare rum??? plzzzzzzzzz!
 
Wewe naona kishawishi umekifuata and not otherwise!
Hii inanikumbusha mkuu wa bank moja apa nchini alienda na kidosho ambaye nae ni mfanyakazi.
Waliporudi yule kidosho alipata shida kufanya retirement bse kila kitu alikuwa anaclear bwana mkubwa mpaka kwa hotel nadhani walisave cost kwa kulala chumba kimoja!
 
Back
Top Bottom