Sherehe za miaka 48 ya Muungano 2012

Wana JF, Nimejaribu kumwangalia kwa umakini JK kwenye sherehe ya muungano, tofauti na tulivyomzoea ameonekana mwenye mawazo sana!!, namshauri avunje baraza lake leo au kesho ili arudi normal!!

Maumivu ya kichwa huanza polepole
 
Mimi nilichoshangaa ni kuona wengi waliohudhuria ni vitoto vya shule tu!

watu hawana hela za nauli za kuhudhuria muungano, mtu hana hela ya chakula, hela ya luku hela ya karo za watoto wake alafu aache familia yake aende akashangilie muungano na mafisadi?? watanzania wamechoka hawadharauliki tena kama zamani, waache wakae wenyewe wenye hela washerehekee muungano wao
 
Hata kwenye msiba wa kanumba hakuwa na huzuni kama ya leo. Labda huzuni kama ya leo aliipata wakati matokeo ya Mwanaasha yalivyotoka
 
Kuongoza nchi ni mzigo mkubwa sana. he has never been a good political master...whenever there is a crisis he goes away!
 
Wewe hujamuona vizuri, na ninaomuomba Rais asisikilize maneno ya watapatapaji, nashauri asivunje baraza lake. Kwa nini ninasema hivi, sababu kubwa ni kwamba asilimia kubwa ya watu ni wezi, sema tu wengine hawapo karibu na vyanzo vya kuibia lakini wakikabidhiwa sekta ndipo utakapowajua kile ambacho hasa wanacho ndani ya nafsi zao. Dr Kikwetwe, nakuomba usivunje baraza lako maana ukivunja kutokana na shinikizo la wapuuzi wachache, utachagua wengine ambao nao watakuja waibe vilevile, je, hapo pia ikishinikizwa utavunja? ukivunja sasa hivi, utavunja baraza mara ngapi kutokana na shinikizo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Nimeona umesema asilimia kubwa ni WEZI. Good thing ni kwamba kuna asilimia NDOGO ambao sio wezi. Hoja ya msingi hapa ni aondoe wezi aweke wasio wezi. Kama hoja yako ingekuwa watanzania WOTE ni wezi labda ndio ingeleta sense.
 
Z
Wewe hujamuona vizuri, na ninaomuomba Rais asisikilize maneno ya watapatapaji, nashauri asivunje baraza lake. Kwa nini ninasema hivi, sababu kubwa ni kwamba asilimia kubwa ya watu ni wezi, sema tu wengine hawapo karibu na vyanzo vya kuibia lakini wakikabidhiwa sekta ndipo utakapowajua kile ambacho hasa wanacho ndani ya nafsi zao. Dr Kikwetwe, nakuomba usivunje baraza lako maana ukivunja kutokana na shinikizo la wapuuzi wachache, utachagua wengine ambao nao watakuja waibe vilevile, je, hapo pia ikishinikizwa utavunja? ukivunja sasa hivi, utavunja baraza mara ngapi kutokana na shinikizo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Za kwako kidogo changanya na zawengine!
 
8E9U3849.JPG
 
Dr Kitima mkuu wa chuo cha SAUT alisema kuwa tatizo si baraza la mawaziri kujiuzuru bali ni mfumo ulioko. Hata ukichagua baraza la watakatifu bila kubadili mfumo ulioko na tabia ya watumishi wa Serikali ubadilifu wa mali za umma utabaki palepale.
Design a system and a system will work for you. Sasa hivi kila mtu anafanya kazi kulingana na matakwa yake wala si kwa mfumo wa kitaifa. Wakati wa mwalimu Nyerere kulikuwa na mfumo na miiko ya utendaji kazi. Kila mtumishi alichunguzwa mali zake kwa kutumia usalama wa taifa na taasisi zingine. Usalama wa taifa ulikuwa kila mahali. Watumishi waliokuwa kazini wengine walikuwa na kofia mbili. Moja ya utumishi wa kawaida na moja ya usalama wa Taifa. Hii ilifanya watumishi kuogopana kwa sababu huwezi kujua mwenzako ana kofia ya pili au la. Wakati ule Mwalimu Nyerere akipata taarifa kuwa kiongozi fulani ni mbadilifu anamfukuza kazi kupitia redio saa saba mchana na kama ubadilifu ni kubwa anamweka kizuizini. Sasa huvi wazungu wanatupangia namna ya kutunga sheria ambazo zina mpa uhuru mkubwa mtu kufanya anavyotaka. Kule China mtu akikamatwa ameiba mali ya umma anabigwa risasi. Tunatakiwa kufanya jinsi wazungu wanavyofanya na si jinsi wanavyotuambia tufanye. Do what Americans do and do not do what they tell you to do. Sasa hivi watumishi wa Serikali hawaogopani na yule anayeiba sana ndiye anaheshimika na yule mwaminifu anaoneka mjinga na mnafiki.
Raisi wetu mpendwa wa sasa alipoingia madarakani aliliona hili kwa kutoa kauli kuwa "Haiwezekani mtumishi anaajiriwa leo baada ya muda mfupi unakuta anaendesha benzi, ana nyumba zaidi ya moja n.k"
Tulipata matumaini kuwa mambo yatakuwa safi lakini watumishi sasa wamezidisha mara mbili uchotaji wa mali za umma.
 
stupid argument
wanotaka avunje baraza ni wapuuzi wachache? how. kwa hivo waliobiwa ni wapuuzi?
umefurahia sana uozo wa mawaziri hadi unadiriki kuwaita watanzania wapuuzi enheee??
i wish i had a gun watu kama ww hmfai kuishi Tanzania
Wewe hujamuona vizuri, na ninaomuomba Rais asisikilize maneno ya watapatapaji, nashauri asivunje baraza lake. Kwa nini ninasema hivi, sababu kubwa ni kwamba asilimia kubwa ya watu ni wezi, sema tu wengine hawapo karibu na vyanzo vya kuibia lakini wakikabidhiwa sekta ndipo utakapowajua kile ambacho hasa wanacho ndani ya nafsi zao. Dr Kikwetwe, nakuomba usivunje baraza lako maana ukivunja kutokana na shinikizo la wapuuzi wachache, utachagua wengine ambao nao watakuja waibe vilevile, je, hapo pia ikishinikizwa utavunja? ukivunja sasa hivi, utavunja baraza mara ngapi kutokana na shinikizo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Wewe hujamuona vizuri, na ninaomuomba Rais asisikilize maneno ya watapatapaji, nashauri asivunje baraza lake. Kwa nini ninasema hivi, sababu kubwa ni kwamba asilimia kubwa ya watu ni wezi, sema tu wengine hawapo karibu na vyanzo vya kuibia lakini wakikabidhiwa sekta ndipo utakapowajua kile ambacho hasa wanacho ndani ya nafsi zao. Dr Kikwetwe, nakuomba usivunje baraza lako maana ukivunja kutokana na shinikizo la wapuuzi wachache, utachagua wengine ambao nao watakuja waibe vilevile, je, hapo pia ikishinikizwa utavunja? ukivunja sasa hivi, utavunja baraza mara ngapi kutokana na shinikizo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

you mean tz hatuna watu waadilifu? You mean hata wewe ni mwizi/ mdokozi? Kwa hiyo wabunge wote wa ccm ni wezi
 
Wana JF, Nimejaribu kumwangalia kwa umakini JK kwenye sherehe ya muungano, tofauti na tulivyomzoea ameonekana mwenye mawazo sana!!, namshauri avunje baraza lake leo au kesho ili arudi normal!!

Hawezi kuhuzunishwa na matatizo ya nchi yake hata siku moja, atakuwa anahuzunishwa na kifo cha Prof. Bingu wa Mutharika.
 
Wewe hujamuona vizuri, na ninaomuomba Rais asisikilize maneno ya watapatapaji, nashauri asivunje baraza lake. Kwa nini ninasema hivi, sababu kubwa ni kwamba asilimia kubwa ya watu ni wezi, sema tu wengine hawapo karibu na vyanzo vya kuibia lakini wakikabidhiwa sekta ndipo utakapowajua kile ambacho hasa wanacho ndani ya nafsi zao. Dr Kikwetwe, nakuomba usivunje baraza lako maana ukivunja kutokana na shinikizo la wapuuzi wachache, utachagua wengine ambao nao watakuja waibe vilevile, je, hapo pia ikishinikizwa utavunja? ukivunja sasa hivi, utavunja baraza mara ngapi kutokana na shinikizo?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Huyo Dr Kikwetwe ndo nani au mjomba wako?
 
Back
Top Bottom