Recent content by Mtego

  1. M

    JamiiForums Tanzania ni ulimbukeni (UBOYA) kuwa na simu ya gharama.

    Mleta thread ana point hapa wala asibezwe. Kuna watu wako tayari kununua simu ya bei kubwa lakini kula kulala tene miaka yake ishavuka 30, sasa mtu kama huyu inamhusu huyu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Selection ya masters Udms

    GPA nzuri ni ya ngapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani aliyewaroga wabunge wa CCM kama huyu mheshimiwa?

    Dawa yao ni kuwashughulikia wakipita mitaani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Chadema Mwalikeni Malemo

    Ndio yule mwenye geto lililoletwa hapa JF
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda Jokate, nitamfukuzia mpaka ni mkamate

    Unataka kusafisha nyota?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Kata tumbo peke yake haikubali. Anatakiwa apunguze kwanza uzito
  7. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumkamata mwanaume!!

    Hapo ndipo tatizo. Mwnamke ukimpenda mpaka kuacha kufikiria wanawake wengine unaanza kufikiria kwamba kuna karimbwata kumbe anajua kuhandle
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Asante kwa ushauri wenu, sasa nina kilo 76. Bado naendelea na mazoezi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Civil engineering consulting firm(structural engineering)

    Asante mkuu nitafanya hivyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Civil engineering consulting firm(structural engineering)

    Asante ndugu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Civil engineering consulting firm(structural engineering)

    Wakuu habari. Mimi ni mhandisi ujenzi, nafanya kazi taasisi ya serikali kwa miaka 2 sasa hapa Dar es Salaam. Natafuta kazi isiyo na malipo katika civil engineering consulting firm(Structural Engineering). Kama tutakubaliana naweza kuwa nafanya full time siku mbili hadi tatu kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, tatitzo ni jf au ni itv na tbc???

    Mimi huwa nashangaa hizo TV kuchukua picha kiupande.Tena wameanza Arumeru. Najiuliza kweli kuna umuhimu gani wa kuripoti taarifa hizo kama wanakuwa hivyo. Si bora waache tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuuumiza kichwa, sasa naliweka wazi

    Na wewe ni great thinker. Ovyo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuuumiza kichwa, sasa naliweka wazi

    Kwani Walimu hawana nafasi kwenye sekta binafsi. Madaktari je?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuuumiza kichwa, sasa naliweka wazi

    Hadi sasa Madaktari ndio wanalipwa zaidi kuliko kada nyingine. Tujiulize kwa nini hao wengine wapo kimya. Kuna uwezekano wana njia za mkato zinazowafanya kupata pesa kama kupata 10% kwenye miradi au kuiba pesa za umma
Back
Top Bottom