Nani aliyewaroga wabunge wa CCM kama huyu mheshimiwa?

Attachments

  • 270799_404698036233258_1409371770_n.JPG
    270799_404698036233258_1409371770_n.JPG
    14.2 KB · Views: 67
HAhahahaah hao ndo CCM kuna mbunge mmoja jana wa Kigoma alianza kwa kuunga mkono budget kwa 200% akaanza kulia lia oooh Kigoma imesahaulika, akatoa takwimu za pesa kidogo za kiwanja cha ndege Kigoma, kulinganisha na Songwe, Arusha, KIA, Mwanza na malalamiko mengi sana na kuishia kusema hii budget haina tija wala maendeleo akamalizia na kibwagizo anaunga mkono kwa 200%

NB

Kama taifa nadhani tuna wajinga wengi sana bungeni na viongozi wetu wengi ni vilaza

Ukiona Jimbo lina Mbunge kilaza ujue hilo jimbo pia lina vilaza wengi sana ndo maana akashinda kuwa Mbunge. now you know problem source iko wapi.
 
ccm ndio waasisi na mabingwa milele wa political comedy. Yaani wametoa series mpaka hollywood wanagwayaa kuingia nao mkataba.

Ndio maana lazima wawe na puppet comedians like TOT na Orijino Comedy kila waendako, kwani ni kama samaki na maji. Bila usanii ccm ingeshakufa na kusahaulika zamani
 
wamerogwa hao ccm

CCM ni dhaifu na kuthibitisha hilo sikiliza wanachoongea na wanachoomaniisha haviendani.Naunga mkono asilimia mia,natoa kasoro mpaka basi???????hawa watu nina nawasiwasi sana na uelewa wao,labda hawajui kiswahili au hawajui hesabu za asilimia au vyote viwili.Ipo haja ya kuweka common understand kwamba unaposema asilimia mia unamaanisha nn kabla hawajaanza kuchangia,kwani hawa vilaza huenda walichokuwa wanaongea sicho walichomaanisha na hivyo kupitisha bajeti dhaifu kama.....
 
Duuh! Lingine leo limesema, "Naunga mkono hoja hii ili tuipitishe bajeti hii wapwa zangu wasije kunielewa vibaya".What? unaunga mkono kwa kuogopa kueleweka vibaya??
 
Mnyika pekee ndiye aliyegungua hilo, akaainisha vitu vitatu ambavyo ni Udhaifu wa Rais, Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM. lakini wale wanaojiona kuwa wana akili kubwa, kumbe hawaelewi wakamzuia asiwawafanulie maana yake. kwa alieleta uzi huu naona ni mwendelezo wa mchango wa mheshimiwa J. Mnyika.

ccm imepofuka hawaoni..
 
HAhahahaah hao ndo CCM kuna mbunge mmoja jana wa Kigoma alianza kwa kuunga mkono budget kwa 200% akaanza kulia lia oooh Kigoma imesahaulika, akatoa takwimu za pesa kidogo za kiwanja cha ndege Kigoma, kulinganisha na Songwe, Arusha, KIA, Mwanza na malalamiko mengi sana na kuishia kusema hii budget haina tija wala maendeleo akamalizia na kibwagizo anaunga mkono kwa 200%

NB

Kama taifa nadhani tuna wajinga wengi sana bungeni na viongozi wetu wengi ni vilaza

Ndio mawazo yenu wabunge na wanachama wa chama cha washwa washwa, na kila kinacho washwa dawa yake ni kukunwa tu hakunaga dawa nyingine
 
CCM ni dhaifu na kuthibitisha hilo sikiliza wanachoongea na wanachoomaniisha haviendani.Naunga mkono asilimia mia,natoa kasoro mpaka basi???????hawa watu nina nawasiwasi sana na uelewa wao,labda hawajui kiswahili au hawajui hesabu za asilimia au vyote viwili.Ipo haja ya kuweka common understand kwamba unaposema asilimia mia unamaanisha nn kabla hawajaanza kuchangia,kwani hawa vilaza huenda walichokuwa wanaongea sicho walichomaanisha na hivyo kupitisha bajeti dhaifu kama.....

Mambo ya mh. washwa washwa hayo amewaambukiza wote kuwashwa, sasa tuwasaidiaje?
 
Sasa kama huyu jamaa wa TOT asiye na hoja na kama akiwa nayo basi anataka wapigane!!!
 
Siyo kurogwa hiyo inatokana na lishe duni ambayo mtu anaipata anapokuwa mtoto.
 
CCM ni janga la kimataifa kwa sasa!
Inawalemaza akili wanachama wake,wanaishia kuongea nonsense bungeni!!!!
 
Aliyetengeneza tshirt hii atuambie namba zake za simu ili wana m for c tuagize kwani ni ujumbe tosha. hivi karibuni nina sherehe ya rafiki yangu ana send off, sio mbaya wanakamati tukiwa na tshirt hizi kama sare ya send off. itapendezaje?

Mkuu hili neno DHAIFU wanalijua hadi watoto wa shule ya msingi na hata ukilitaja tu wanaitikia ''KIKWETEE'' Sasa kama unataka usalama wa taifa waje kukubeba mzobe mzobe iyo siku ya party yako haya.
 
Ndio mawazo yenu wabunge na wanachama wa chama cha washwa washwa, na kila kinacho washwa dawa yake ni kukunwa tu hakunaga dawa nyingine

Kweli kabisa na mimi niko tayari kukukuna kisawasawa mpaka unitajie jina langu la ukoo
 
Back
Top Bottom