Selection ya masters Udms

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
Wakuu mwenye kujua ni lini au kipindi gani selected list ya walochaguliwa kwa master kwa udsm anijuze maana deadline ya application ili kuwa 15 May na kwa mfumo wa application unaofanyika manually ni vigumu kujua kama application parcage ilishafika au ilipotea au kuna makosa au kuna vitu hukuambatanisha ni shida kujua! Nasikia Mzumbe wametoa tayari.
 
Mkuu kwa kawaida UDSM wana release majina kuanzia July mwishoni kwa uzoefu wangu. Mimi pia nasubiri. Kama una GPA nzuri na course uliyoomba haina ushindani jiandae tu kwa Shule mwezi Oktoba Mkuu.
 
Ingia kwenye website yao, alafu wewe unayesema jipieyi nzuri nafikiri sio mlimani yasasa ambayo imekaa kibiashara. Kwanza pale siku hizikila anaye apply anapata ilimradi uwe na pass zaidi kila anayekuwa admitted pale lazima atagraduate tu. Sapu zipo sana ila kuzichomoa ni kama kumsukuma mlevi. Siku hizi chuo kimejaa cheating kupita hata viongozi wa ccm. Zaidi wewe angalia unachotaka tu
 
uliapply course gani? kwa mba part time wameshatoa majina na barua za admission zimeshaanza kugawiwa
 
Mkuu kwa kawaida UDSM wana release majina kuanzia July mwishoni kwa uzoefu wangu. Mimi pia nasubiri. Kama una GPA nzuri na course uliyoomba haina ushindani jiandae tu kwa Shule mwezi Oktoba Mkuu.

Mkuu ni course gani kwa uzoefu wako zenye competion? Mi niliapply MA Demography GPA yangu ni 3.8
 
Ingia kwenye website yao, alafu wewe unayesema jipieyi nzuri nafikiri sio mlimani yasasa ambayo imekaa kibiashara. Kwanza pale siku hizikila anaye apply anapata ilimradi uwe na pass zaidi kila anayekuwa admitted pale lazima atagraduate tu. Sapu zipo sana ila kuzichomoa ni kama kumsukuma mlevi. Siku hizi chuo kimejaa cheating kupita hata viongozi wa ccm. Zaidi wewe angalia unachotaka tu

Nimeingia kwenye web yao hakuna jipya mkuu lihusulo hoja yangu hii.
 
Nimeangalia sahizi kwenye web ya Mzumbe wamerelease wale walokuwaselected!
 
Ingia kwenye website yao, alafu wewe unayesema jipieyi nzuri nafikiri sio mlimani yasasa ambayo imekaa kibiashara. Kwanza pale siku hizikila anaye apply anapata ilimradi uwe na pass zaidi kila anayekuwa admitted pale lazima atagraduate tu. Sapu zipo sana ila kuzichomoa ni kama kumsukuma mlevi. Siku hizi chuo kimejaa cheating kupita hata viongozi wa ccm. Zaidi wewe angalia unachotaka tu
Unatudanganya bwana... hebu usiwe mvivu angalia kwenye hiyo web yao uone M.A Education na MEMA cut off point ilikuwa ngapi mwaka 2011/2012? Kwa MBA na DS labda lakini habari ya Pass sahau kabisa labda lower second. MEMA waliishia 3.8 na M.A Ed waliishia 3.7, angalia pia course kama Economics, PSPA, Sociology, Law na Linguistics pia uone waliishia GPA ya ngapi!!!!
 
Mkuu ni course gani kwa uzoefu wako zenye competion? Mi niliapply MA Demography GPA yangu ni 3.8
Demography utapata na uzuri GPA yako imekaa vizuri pia. Tatizo la Demography ni kwamba kila mtu anasoma kama ilivyo MBA, Library na DS. Demography huwa kuna scholarship za UNFPA ukiwa na bahati unaweza kupata, jaribu kuomba zikitoka
 
Web ipi ya mzumbe uloangalia wameweka wakati mimi sioni?Mbona tunapeana presha jamani?

Mkuu IT inakupiga chenga nini? MZUMBE wametoa na nimedownload kwa list ya main campus ninayo hapa kwny desktop ya computa yangu kama vipi ni Pm Nikutumie! Angalia web ya mzumbe kwenye "news" iko peke yake, pia hata kwa campus ya Dar wametoa Mzumbe fuatilia thread ya "Spornsaship ya Ma Public Admnistration Mzumbe" kwenye forum hii ya education kuna member wa Jf kapata
 
Mkuu kwa kawaida UDSM wana release majina kuanzia July mwishoni kwa uzoefu wangu. Mimi pia nasubiri. Kama una GPA nzuri na course uliyoomba haina ushindani jiandae tu kwa Shule mwezi Oktoba Mkuu.

GPA nzuri ni ya ngapi?
 
GPA nzuri ni ya ngapi?
At least Second Class Lower Division kutegemeana na course. Ukiacha DS na MBA programme zingine wanataka at least 3.3 na kuendelea. Course kama Education wanaishia na Upper Second mara nyingine ya 3.8,
 
Back
Top Bottom