Mleta mada abadili hapo siyo malemo..ni julius malema.
humu sio wote chadema muwe mnapendekeza kwenye vikao vyenu vya ndani
Nimekuwa nikifuatilia post zako nyingi nimegundua una tatizo la 'h', naomba niwe mwalimu wako kwa leo,Mkuu umekosea jina sio Molemo yule jamaa yetu ambaye uwa tunakuwa nae humu JF?
Nakubaliana huyu jamaa kwa wasiomfahamu wanaweza kufikiri ni wa maana sana . Ni hatari tena ni fisadi mkubwa huko South na huwa anatumiwa kuleta vurugu. Hamaanishi anayoyaongea kwa hiyo ni wa kuepuka sio mfano mzuri kwetu. Don't entertain him. Hata wa South wenyewe wamemstukia. Anawapelekesha walala hoi ambao hawana uelewa na kuwasababishia matatizo makubwa wakati yeye akiendelea kuishi maisha ya anasa Suncity.
humu sio wote chadema muwe mnapendekeza kwenye vikao vyenu vya ndani
Nimekuwa nikifuatilia post zako nyingi nimegundua una tatizo la 'h', naomba niwe mwalimu wako kwa leo,
Siyo 'uwa' ni 'huwa',
Mara nyingi umekuwa ukiandika abari badala ya habari na mengine kwa mfano;
Siyo arusi ni harusi,
Siyo angaika ni hangaika,
Siyo afai ni hafai,
Siyo hamani ni amani,
Siyo alafu ni halafu, etc.
Kuna mengine yenye utata kidogo mfano 'ana' ukiandika 'hana' ni maneno mawili yenye maana mbili tofauti kabisa.

Mkuu, naomba na mimi nichangie kidogo kuhusu hili tatizo la lugha humu katika JF. Ni wengi sana mahala pa "a" wanaweka "h" na kinyume chake.
Aidha pia mahala pa "r" wanaweka "l" na kinyume chake pia.
Lakini hata wewe mkuu, (najua wengi watabisha, lakini wakifanya hivyo nitawafafanulia japo siyo mwalimu wa kiswahili)
hakuna neno harusi kama lilivyozoeleka, bali neno sahihi ni arusi. Kama ilivyo kwa saini (signature) na sahihi (correct)??!!
Nitaishia hapa kwa kuwa huu ni ukurasa wa siasa na siyo lugha.
Mkuu hakuna kitu kama 'arusi' hiyo ni misemo ya kina mama, huwezi kusema arusi yangu ilifana ni harusi yangu ilifana, halafu sidhani kama kuna neno 'saini' hili wamechukua toka neno la kiingereza 'sign'.Mkuu, naomba na mimi nichangie kidogo kuhusu hili tatizo la lugha humu katika JF. Ni wengi sana mahala pa "a" wanaweka "h" na kinyume chake.
Aidha pia mahala pa "r" wanaweka "l" na kinyume chake pia.
Lakini hata wewe mkuu, (najua wengi watabisha, lakini wakifanya hivyo nitawafafanulia japo siyo mwalimu wa kiswahili)
hakuna neno harusi kama lilivyozoeleka, bali neno sahihi ni arusi. Kama ilivyo kwa saini (signature) na sahihi (correct)??!!
Nitaishia hapa kwa kuwa huu ni ukurasa wa siasa na siyo lugha.
I see!! Duu... Kwa hiyo huyo mwalimu kumbe nae hana kitu JF bana.
Wewe jitetee mwenyewe usiseme kwa vile fulani huwa anakosea basi na wewe lazima ukosee. Kama umekubali kukosea neno 'huwa' kwa kuandika 'uwa' hayo mengine ni mifano yake, neno 'sio' siyo kiswahili sanifu ila watu wamezoea kulitumia.Ebu weka hayo maneno yangu niliyoandika arusi, abari, hamani, humu Jamvini hakuna sehemu yoyote mie nimeandika hivyo ukiweka mie najitoa JF kuanzia leo zaidi ya hapo wewe ni mtu wa mipasho tu...neno siyo na sio kwangu mie sio ndio sahihi...kuna members wengi tu humu JF wanatumia neno sio badala ya siyo kama AshaDii na Ribosome.
Nibeze lakini sasa angalau naona umeanza kuelewa somo, kabla ulikuwa unaandika 'ana' badala ya 'hana', bado kidogo hapo kwenye 'nae', good but keep on trying.I see!! Duu... Kwa hiyo huyo mwalimu kumbe nae hana kitu JF bana.